Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Sabab hazijatolewa au wew ndo huzfaham,..unataka uambiwe sabab kupitia mat..ko au..
 
Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Nyie ndo vilaza ambao mnaishi kwa kutegemea kuambiwa na kufanyiwa mambo..wenzenu wanatafta taarifa nyi mnakuna p..mbu....
 
Hii ni kazi ya mungu ndie ajuae siku na saa, Mungu awalaze panapostahili, Amina.
 
Kwahiyo hajali ni ipi condom ikipasuka wakati wa tendo au kuumwa na mbu wa malaria kabla ya kuingia kwenye net?
 
Huuuuh
 
Mtoto pekee aliyebaki hai baada ya majeruhi mwingine kufariki muda si mrefu.
 
Too sad duh basi tena mungu awape nguvu wfiwa wote na wote tuwaombee kwa kweli inatuhuzunisha kama wadogo zetu watoto zetu na watanzania wenzetu eewe mwezimungu walehemu wote

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Poleni wafiwa, FUNZO TUMEPEWA, Magari yakubeba wanafunzi YAKAGULIWE MARA KWA MARA, PILI, WATOTO WASIJAZWE SANA KWENYE MAGARI SEAT MOJA WATOTO WATATU, TATU, KILA MTOTO AFUNGWE MKANDA KABLA YA SAFARI, TANO, WALIMU WAWADHIBITI MWENDOKASI WA MADEREVA WAO,WAWAKEMEE PALE WANAPOENDESHA KWA SPEED KUBWA. NOTE.Kwa vyovyote iwavyo chanzo cha ajali hiyo ni mwendo mkali wa dereva na sio kingine. angekuwa mwendo wa taratibu gari lisingebondeka kiasi hicho na VIFO visingekuwa vingi kiasi hicho. MUNGU AWAWEKE MAHALA PANAPOWASTAHILI KUWEPO KUTOKANA NA WALICHOPANDA KATIKA UHAI WAO HUKU DUNIANI. AMINA.
 
Ulichoongea ni sawa mkuu.lakini labda u mgeni wa ile Barabara ya Karatu to Arusha.kule udongo wake ni ule unaoteleza sana afu kuna manonde na mvua za mara kwa mara.
Kingine ni juu ya kubondeka kwa gari.
Ukiangalia vizuri utaona kuwa gari lilitumbukia Bondeni.hebu tizama vizuri
 
akisha nyogwa.watarudi..mipango ya mungu tu
 
Innalillah wainna illah raji'un....
Mwili wote unanisisimka ila kazi yake Mola haina makosa,

Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote, Mola awape nguvu, ujasiri na ustahamilivu katika kipindi hiki kigumu,

Tupo Pamoja nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…