Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Sabab hazijatolewa au wew ndo huzfaham,..unataka uambiwe sabab kupitia mat..ko au..Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabab hazijatolewa au wew ndo huzfaham,..unataka uambiwe sabab kupitia mat..ko au..Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Nyie ndo vilaza ambao mnaishi kwa kutegemea kuambiwa na kufanyiwa mambo..wenzenu wanatafta taarifa nyi mnakuna p..mbu....Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Hiyo ni ajali Dont judge.. Gari inaweza kua nzima tu na ikazngua vzuri tuUle sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
Hii ni kazi ya mungu ndie ajuae siku na saa, Mungu awalaze panapostahili, Amina.Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki,
shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
.............
UPDATES:Ajali imetokea mlima marera kijiji cha rhotia,km chache sana kutoka Karatu mjini,mlima huo una mteremko mkali na daraja na pia kulikuwa na ukungu
Picha: Soon nitaziapload ni ajali ya muda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster inasadikiwa kuwa na zaidi ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto watatu (3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasiwasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na zaidi ya abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
................
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka kichwa
................
UPDATES:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
..................
UPDATES:Majeruhi mmoja kati ya( 3) amefariki kabla ya kufikishwa hospitali,kwa hiyo taarifa zinasema wamebaki majeruhi wawili walioko ICU
...............
UPDATES:Kuna mkanganyiko mwingi kuhusu chanzo cha ajali ila nature ya eneo la ajali ni mteremko mkali na kuna daraja,ni eneo ambalo dereva anatakiwa kuwa makini kabisa,kwa dareva asiyemwangalifu inaweza tokea lolote,hebu angalia hapo gari lilipotumbukia na haikuwa ina over take ,u can diagnose the nature of an accident![]()
UPDATES:Mwonekano wa gari kwa mbele baada ya kupata ajali
![]()
UPDATES:RPC Wa arusha amethibitisha jumla ya vifo 31 vya waalimu na wanafunzi
...................
UPDATES:Taarifa kutoka mjini Karatu zinasema kuwa majeruhi hali zao ni mbaya zaidi na wanakimbizwa hispitali ya rufaa ila mtoto mmoja ni mzima![]()
...............
UPDATES:Mtoto pekee alienusurika amesimulia chanzo cha ajali na amesema kuwa gari lilifeli break tokea mwanzo wa kushuka mlima hali iliyopelekea watoto na waalimu kupiga makelele na kilichofuata ni gari kupaa na kupinduka kwani nature yake sio slope kivile kuna miinuko kidogo
My take:Kulingana na maelezo hayo inaonekana gari lilifeli break,kupoteza mwelekeo na kupinduka ingawa bado polisi hawajatoa taarifa za chanzo cha ajali Bali walitaja idadi ya vifo 31 tu
...............
UPDATES:Majina ya waliofariki
![]()
![]()
MUNGU AWALINDE NA KUWAREHEMU ITS SO SAD
![]()
R.I.P all
Client:Jf member
Kabla ya tukio mkuuhii picha ni baada ya tukio
Kwahiyo hajali ni ipi condom ikipasuka wakati wa tendo au kuumwa na mbu wa malaria kabla ya kuingia kwenye net?Msi justify ujinga,..unalala bila net au unakula mzigo bila kinga ukifa unasema ajali.,,unaendesha gar huna vibal,gar mbov,haina service,huna uzoef,..hata akili ya kujua mvua imenyesha kwenye kona punguza mwendo huna,umejaza watoto 50 kwenye bus,..af unasema ajali?hyo shule tunakula nayo sahan 1,china unanyongwa uzembe kama huo
Huuuuh~~~>>>R.I.P Taifa la kesho...
Hili gari ilikuwa ni mali ya Raqeeb, ilikuwa inafanya safari za Usangi-Moshi.... Kabla ya kuuzwa lilikuwa na tatizo la kung'ang'ania Clutch.
Akamuuzia jamaa mmoja Arusha kisha na yeye akawauzia shule ya Lucky Vicent...
Wakati likiwa linafanya safari za Usangi- Moshi lilishawahi kung'ang'ania Clutch akamvaa dereva wa Boda boda...
Inawezekana hili tatizo liliendelea...
Nashauri serikali wawe wanakagua magari ya shule vizuri...
anaonekana anamawazo sana. akifikiria marafiki zake. na wenzake wote. MUNGU ampe afya njema.Mtoto pekee aliyebaki hai baada ya majeruhi mwingine kufariki muda si mrefu.
View attachment 505630
Ulichoongea ni sawa mkuu.lakini labda u mgeni wa ile Barabara ya Karatu to Arusha.kule udongo wake ni ule unaoteleza sana afu kuna manonde na mvua za mara kwa mara.Poleni wafiwa, FUNZO TUMEPEWA, Magari yakubeba wanafunzi YAKAGULIWE MARA KWA MARA, PILI, WATOTO WASIJAZWE SANA KWENYE MAGARI SEAT MOJA WATOTO WATATU, TATU, KILA MTOTO AFUNGWE MKANDA KABLA YA SAFARI, TANO, WALIMU WAWADHIBITI MWENDOKASI WA MADEREVA WAO,WAWAKEMEE PALE WANAPOENDESHA KWA SPEED KUBWA. NOTE.Kwa vyovyote iwavyo chanzo cha ajali hiyo ni mwendo mkali wa dereva na sio kingine. angekuwa mwendo wa taratibu gari lisingebondeka kiasi hicho na VIFO visingekuwa vingi kiasi hicho. MUNGU AWAWEKE MAHALA PANAPOWASTAHILI KUWEPO KUTOKANA NA WALICHOPANDA KATIKA UHAI WAO HUKU DUNIANI. AMINA.
akisha nyogwa.watarudi..mipango ya mungu tuMsi justify ujinga,..unalala bila net au unakula mzigo bila kinga ukifa unasema ajali.,,unaendesha gar huna vibal,gar mbov,haina service,huna uzoef,..hata akili ya kujua mvua imenyesha kwenye kona punguza mwendo huna,umejaza watoto 50 kwenye bus,..af unasema ajali?hyo shule tunakula nayo sahan 1,china unanyongwa uzembe kama huo
Huyu alikuwa kwenye bus la nyuma sio lililopata ajali.gari lililopata ajali majeruhi wako mahututiMtoto pekee aliyebaki hai baada ya majeruhi mwingine kufariki muda si mrefu.
View attachment 505630