Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Mkuu pole sana kwa kuyajua maumivu hayo,maelezo yako yamenitoa machozi kwa kweli,tunahangaika sana na hawa watoto wao hawajui tu,wakienda trip huna amani wala furaha hadi watakaporudi salama,natamani kuwakataza wakiniambiaga,lakini huzuni wanayokuwa wanananionyesha na wanajua ninauwezo wakuwalipia,huwa naumia sana,nikiwaruhusu hawajui maumivu ninayokuwa nayo mm hadi warudi
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Hata private, ikifika imefika japo public ni kizunguzungu
 
Asbh yangu imekuwa mbaya..Ee MUNGU wapokee watoto hawa kwenye ufalme wako na uwape wazazi na ndugu moyo mkuu!
 
Sad news jamaan watoto wadogo ivyo
 
Ni nadra binadam wooote wakafariki lazima wawili watatu Mungu anaweza kuwanusuru.
 
Inasikitisha sana..

Ingawa ajali haina kinga... Na kifo hakina hakina hodi... Ni ni shida sana kusafiria magari mabovu...

Shule nyingi kwenye ziara za kusafiri eneo moja kwenda jingine, wanakodisha magari ambayo yapo tayari kwa safari za mbali...


Cc: mahondaw
 
Innocent lives lost!!!!Inahuzunisha ,Inasikitisha ,Utakuta walitoka shuleni wakiwa wanafuraha,bashasha wakifurahikia wanapokwenda!Ooh maskini wamepoteza maisha!Gone too soon!
 
Innalilahi wainaillahi rajiuni!l can imagine how their parents are feeling now!mama zao sasa hivi wanamumivu wanatamani wangekufa wao,baba zao wanatamani wangeweza kupambana na hicho kifo!dah,Allah wape waja wako subra waikubali kwa wepesi kazi yako uliyofanya wewe!
 
Madereva punguzeni bangi na gongo.
 
Maskini. Poor little angels..... poleni sana sana wazazi na familia za waliofariki.
 
Hii hali ukiwa kama mzazi unajiuliza umetenda kosa gani mpaka uyapitie haya? Ni wakati mgumu na inaumiza sana..

Mwenyenzi Mungu awape faraja wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…