Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

mleta taarifa tunaomba utvambie ni rhotia sehemu gani?
 
Nooooo jaman sitaki kuamini shule nnayoifaham na mwanang alisoma hapo kabla hajahama
Mtt wa mpangaj mwwnzang anasoma hapo ahaaa kwann lkn kifo watt wetu wapendwa mmeondoka mapema sana
 
Hawa madereva huwa wanaendesha ka hawana vichwa vile.
 
dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !

yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia nendeni mkatembee kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
Nimechukua point hapa
 
Nimejulishwa kutoka Tanzania kuwa kuna ajali mbaya iliyouwa watoto wengi wa darasa la saba waliokuwa wanaenda kufanya mtihani wa kujipima Karatu, kutoka shule ya Lucky Vicent
 

Attachments

  • IMG_5320 (1).JPG
    IMG_5320 (1).JPG
    75.7 KB · Views: 24
Innalilahi wainaillahi rajiuni!l can imagine how their parents are feeling now!mama zao sasa hivi wanamumivu wanatamani wangekufa wao,baba zao wanatamani wangeweza kupambana na hicho kifo!dah,Allah wape waja wako subra waikubali kwa wepesi kazi yako uliyofanya wewe!
huzuni sana
 
Ajali haina kinga ila MWENDOKASI nao majanga
Tuwaombee wazazi wote wawe wavumilivu kipindi hili kigumu poleni sana Ameen
 
Updates za picha:
R.I.P
 

Attachments

  • IMG-20170506-WA0037.jpg
    IMG-20170506-WA0037.jpg
    161 KB · Views: 27
R.i.p watoto wetu, waalimu Na Dereva. Kwa kweli inasikitisha . Comment zingine najizui kuandika mpaka nipate kujua tatizo ni nini? Ajali Kama ajali au ilikuwa ni uzembe etc
 
Back
Top Bottom