ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Whaat?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana..
Ingawa ajali haina kinga... Na kifo hakina hakina hodi... Ni ni shida sana kusafiria magari mabovu...
Shule nyingi kwenye ziara za kusafiri eneo moja kwenda jingine, wanakodisha magari ambayo yapo tayari kwa safari za mbali...
Cc: mahondaw
Hapo sio mwendo kas n miundo mbinu ya barabara na mvua hizi ndio balaa kabisa..Mungu tuepushie zimwi hili la ajaliAjali haina kinga ila MWENDOKASI nao majanga
Tuwaombee wazazi wote wawe wavumilivu kipindi hili kigumu poleni sana Ameen
Dah RIP na pole kwa wafiwa wote .
Habari mbaya sana, mpaka sasa hakuna chombo cha habari chochote kilicholipa jambo hili uzito .[HASHTAG]#OnlyInTanzania[/HASHTAG]
Halaf ile barabara kwa dereva asokuwa makini n hatari sana ina miteremko mibaya mnoooAjali haina kinga ila MWENDOKASI nao majanga
Tuwaombee wazazi wote wawe wavumilivu kipindi hili kigumu poleni sana Ameen
Nimesema hakuna chombo cha habari kilicholipa hili jambo uzito sio kwamba hawajaripoti, jaribu kuelewa kabla ya kukurupuka.. JF haiwezi kufika kwa watu wengi kama radio na TVAcha uongo. JF ni chombo cha nini? ITV wameripoti tena kistaarabu - hawajaonyesha picha wala kuzusha idadi ya majeruhi na wafu wala sababu ya ajali.
Kama ni watoto wadogo wanaweza kukaa wa4 katika siti ya watu wawili kwa hyo 25*2 mkuu!Tuombe subra kwa walimu na wazazi mkuu sio mda wa lawama huu,walimu wameumia sana pia maana mda mwingi sana wanakaa na watoto wetu,siku 5 sisi siku moja kwa ajili ya kuhangaika,mtoto aliyezowea kumuona kila siku kwa mwezi siku kama 22 asimuone tena milele,poleni walimu wa shule tajwa,na hongereni kwa jukumu kubwa LA kutuangalizia,kulea,kuwashape watoto wetu wakati sisi tunahangaika!Sasa safari hiyo ukute hawana kibali. Shule itakuwa matatani. Vijipesa hivi walimu tuangalie coster ni watu 25.unaweka zaidi YA 30 shídaa