Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo.

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.

Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.

Chanzo: Mwananchi.
Bila shaka mtoa post yuko katika lile benchi la buku 7"kasingizia chanzo mwananchi,,
 
Mpuuzeni Tu Tutoe Pole Sana Kwa Wafiwa
Mtu Ambaye Analeta Ujinga Kwenye Habari Nyeti
 
Mods mtarekebisha baada ya Vilio vingi heading ya Mwananchi ni hii hapa chini

"Lowassa awalilia wanafunzi, maiti 32 zapelekwa mochwari''
 
a170f7fd21ab70e6b828652caca14f76.jpg
Justine alex na Anold Alex wanaweza kuwa Ndugu!? Mungu awape wazazi,Ndugu jamaa na marafiki nguvu...hakuna namna tena. Rip.
 
[QUOT"Troll JF, post: 21000697, member: 272540"]Wazistaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo. Wewe no

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.

Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.

Chanzo: Mwananchi.[/QUOTE]
Wewe ni
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo.

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.

Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.

Chanzo: Mwananchi.
Nakutukana kwa hiyo heading!! NGEMSE WEWE!! Unafiki umekujaan
 
Jamani kama ni joint exams kwani wasingefanya wakiwa shuleni kwao?sema maswali yakafanana ma ya st Tumaini.Barabara zenyewe ndo hizo halafu wanarisk maisha ya watoto namna hiii?RIP innocent souls.
 
RIP wote waliotwaliwa katika ajali hiyo ya ghafla na ya kusikitisha. Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu mzito.

Kwa nia njema kabisa tungeomba picha zinazoonesha miili ya wapendwa wetu waliopoteza maisha ziondolewe kwa kuwa zinazidisha majonzi kwa wote tunaosoma na kufuatilia habari za msiba huu.

Picha za gari na nyingine zinazohusiana na ajali ni sawa, ila picha za miili kama ilivyolazwa hapo chini zinatutia simanzi zaidi kwa kweli.
 
Eeeh Mungu naomba upumzishe roho za hawa Marehemu mahali pema peponi.
Eeh Mungu wape faraja ya kipekee Wazazi/Walezi Wa watoto na walimu wao....

RIP.
 
Mkuu VIP kuhusu miili kuletwa mount meru mortuary Manake Tuko hapa na hatujaambiwa chochote
Ngoja tudodose itachukua almost 2.5 hours kufika arusha nahc selian ila Karatu hakuna capacity ya kutunza hao maiti hospitalini at once
 
Back
Top Bottom