Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Pole kwa ndugu, jama na marafiki.
Nawaombea kwa Mungu majeruhi wapone haraka na kuendelea na masomo/shughuli zao
 
[QUOT"Troll JF, post: 21000818, member: 272540"]Mods mtarekebisha baada ya Vilio vingi heading ya Mwananchi ni hii hapa chini


"Lowassa awalilia wanafunzi, maiti 32 zapelekwa mochwari''[/QUOTE]
Wewe ni Fala tu
 
IMG-20170506-WA0017.jpg
IMG-20170506-WA0016.jpg
IMG-20170506-WA0017.jpg
IMG-20170506-WA0016.jpg
 
poleni wazazi kwa kuwapoteza wapendwa watoto wenu. Poleni uongozi wa shule kwa tukio hilo la kutisha na mwisho tupeane pole watanzania wooote kwa kwa kuwapoteza wasomi na wataalam hao tuliowatarajia kulitumikia taifa letu. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAAA JINA LAKE LITUKUZWA
 
Justine alex na Anold Alex wanaweza kuwa Ndugu!? Mungu awape wazazi,Ndugu jamaa na marafiki nguvu...hakuna namna tena. Rip.[/QUOTE
nadhan ndo hao duterte anasema watoto wa bro wake
 
Eeeh Mungu naomba upumzishe roho za hawa Marehemu mahali pema peponi.
Eeh Mungu wape faraja ya kipekee Wazazi/Walezi Wa watoto na walimu wao....

RIP.
Hawa ni watoto wadogo,hawana dhambi,,wanakwenda peponi,moja kwa moja.
 
Pole kwa wafiwa, ni msiba mzito kwa taifa, changamoto kwa kamanda Mpinga, kamanda elewa kuwa vijana wako wanaruhusu magari mabovu kutembea. Kama Mh rais ametumbua watumishi wasio na sifa, wewe unashindwa nini kuzuia magari yasiyo na sifa?
 
Asante sana mkuu. Ndio maana nimesafiri mara tu nilipopata taarifa. Ndugu zangu wengine bado hawaamini na hawataki kuamini. Kaka alikuwa na watoto hao hao ndio walikuwa wanampa faraja baada ya mke wake kuitwa na Mungu mwezi wa pili mwaka huu.

Pole mkuu
 
Jamani kama ni joint exams kwani wasingefanya wakiwa shuleni kwao?sema maswali yakafanana ma ya st Tumaini.Barabara zenyewe ndo hizo halafu wanarisk maisha ya watoto namna hiii?RIP innocent souls.
Hapa ningejua zitakua nyingi sana. Mungu mwenyewe anajua kwanini ameruhusu hali hiyo itokee. Funzo huja baada ya.....Rip watoto
 
Vifo vya watoto huwa vinamiumiza sana.Hasa pale vinaposababishwa na uzembe au maamuzi ya watu wazima ambao walipaswa kuwalinda
 
Inasikitisha sana poleni wafiwa na Mungu awalaze marehemu mahali pema peponii
 
Poleni wafiwa,R.I.P waliotutangulia,

Nadhani kuna umuhimu wa Polisi kufuatilia historia ya hilo basi kama lilikua katika ubora wake,lilifanyiwa service lini na wapi? Kuna rekodi yeyote ya daily check up ya hilo basi?
Vipi dereva hakuna under influence of alcohol?
Hiyo barabara kuna alama yeyote ya tahadhari inayoonyesha kua hilo eneo ni mteremko?

Polisi wafuatilie kwa makini sana chanzo cha ajali ili kuprevent the same accident isitokee tena eneo hilo.
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
wwe sio mzima jitafakari mbna wabongo hamkosagi maneno lakini hata kama hupendi vitrip basi wangekufa tu hao watoto ndo mungu alipanga hivo
 
Magari yanayotembea barabarani mengi ni mabovu,daladala mbovu hii inapelekea magari ku fail ghafla yanapokua njiani.
 
Back
Top Bottom