Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo shemeji.......ni msiba mzito kwakweli. Mungu awape faraja wafiwa wote
Even me[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]I am speechless!!
kwa mujib wa mtoto manusuru amesema gari ilifail break mwanzo wa mteremko...walim na wanafunzi wakaanza kupoga kelele....Ninacho shangaa idadi ni kubwa lakin basi bado zima nyuma inamananwatoto hawakusimamiwa kufunga mikanda au kitu gani hapo!!?? Maana ukiliona basi lilivyo na idadi ya walio tutangulia inachanganya hapa ,
Pole sana mkuuAsante sana mkuu.
Ni kweli hii ni kazi ya Mungu? Na ipi hasa nikazi ya shetani kama Mungu naye anajihusisha na ukatili kama huu?Inasikitisha sana!!Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa wote.Kazi yake haina makosa.