Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

May Almighty God rest their soul in eternal peace Amen!
 
Wapumzike kwa amani poleni kwa wazazi na wa Tanzania kwa ujumla !
 
Huyo mtoto aliyepona ni nabii wa Mola! I'm praying to the Almighty One wampatie therapy ya kutosha! Mwenye Enzi Mungu akubariki milele yote!
 
My God, its so very, very sad. Hasa kwa hao waliopotelewa na watoto wawili wawili. Poleni sana, sana, sana wafiwa. Hakuna anayejua siku wala saa wala aina ya kifo kitakachomchukua. Mungu awepeni ujasiri japo kifo kamwe hakizoeleki.
 
hii habari ni mbaya na ya kusikitisha sana, MUNGU AWAREHEMU MAREHEMU WOTE WA AJALI, PIA AWAPE FARAJA WAZAZI, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI HASA KTK KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MAOMBOLEZO!
 
Pole sana wazazi na wanajumuia ya shule. Kuna maswali ya kujiuliza, je watoto wote walikua wavulana, maana nimeona humu kuwa walimu 4 wote walikua wanaume. Je gari ilikuwa inafanyiwa proper maitanance kwa maana tatizo la break huwa alitokei ghafla. Uchunguzi wa kina ufanyike na walio zembea wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Ninacho shangaa idadi ni kubwa lakin basi bado zima nyuma inamananwatoto hawakusimamiwa kufunga mikanda au kitu gani hapo!!?? Maana ukiliona basi lilivyo na idadi ya walio tutangulia inachanganya hapa ,
kwa mujib wa mtoto manusuru amesema gari ilifail break mwanzo wa mteremko...walim na wanafunzi wakaanza kupoga kelele....
mind you..watoto wengi sana wa hizi shuke huwa wanapenda kusimama hawaki kwenye viti..full kuchungulia nje..naamink hawa wengi wamekufa kwa kujigonga kwenye roof ya gari baada ya gari kukita kule chini.....
 
Hapo kwenye damu kutokuonekana nako vipi?
Kufail brake bado kitendawili mmmmhhh!
Inalillah wa innaillah raajun!.
 
IMG-20170506-WA0255.jpg
IMG-20170506-WA0254.jpg
 
Siamni kuwa alama za barabarani pekee zinaweza kuleta matokeo tunayoyataka au kuyatarajia!!!

Tuache kiburi cha kuegemea kwenye sheria za kimataifa.
Tuwekeni matuta ya barabarani kwenye maeneo korofi.
 
Watoto wamekwenda. Ni maumivu kiasi gani jaman. Ni nani ajuaye kesho yetu. Yote tunamwachia Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom