Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Nami mara nying sana napinga xafari za namna hii..
 
So sad kwa kweli, hawa ni bado malaika ni watoto kwao ni pepo tu ila ni huzuni kubwa sana kwa wazazi na family. Mungu awape subira katika janga kubwa hili.
 
Jamaaani kiukweli natamani kulia..huu ulipaswa kuwa msiba wa taifa kwakweli
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Nimesikitika sana, hawa ni malaika na sehemu yao ni paradise. Mimi ni kama wewe siruhusu watoto kwenda trip kama hizi na sio kuogopa kifo tu maana kifo sehemu yoyote ila nakosa amani. Please someone cancel all these school trips.
 
kaaah ni majonzi sio siri, wamemaliza safari yao hapa duniani
 
Mkuu ndo maisha wote twapita
Kifo huwezi kuzoea mimi nilifiwa na infant tu kazaliwa amefariki lakini nililia kwa uchungu imagine hawa watoto wa shule vikubwa tu, wameshakwenda ila nawaza family Mungu wape ujasiri jamani haya ni mambo makubwa kwa wazazi. Mungu mkubwa
 
Back
Top Bottom