Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Serikali haitengenezi magari yaliyopata ajali, ni minada tuu au kugawana wahuni juu kwa juuHayo MAgari hayarekebishiki mkuu..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haitengenezi magari yaliyopata ajali, ni minada tuu au kugawana wahuni juu kwa juuHayo MAgari hayarekebishiki mkuu..!?
"Initial assessment" ni kwamba hayo magari yote yalikuwa kwenye mwendo mkali.Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii...!!!Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Wewe ndie kichwani hamna kitu yeye anafuatilia utekelezaji wa ilani ya chamaHaya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii...!!!
Ujumbe ni mmoja tuu ziara yote imeharibikia hapo zile post za kumsifu zimekoma sasa ni mjadala wa ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika video hiyo nacho kuona ni uzembe wa madereva kuendesha kwa kasi bila kujali speed au stopping distance na kutokuwa na awareness wakati wa uendeshaji ndio maana wa nyuma akamgonga wa mbele na kuendelea…bima ndio itakula hasara hapo…polisi pia iwachukulie hatua hao madereva kwa kutofuata speed limits ktk barabara za aina hiyo…Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Great thinker huyo tayari ameshakimbilia kwenye uchawi kisa msururu wa magari zaidi ya ishirini unaokimbia kasi katika barabara yenye vumbi kupata ajali........TAIFA HILI KAZI IPO!!!Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Kwani Mwenezi wa CCM ni nani katika nchi hii hadi afuatane na msafara wa magari kiasi hicho."Initial assessment" ni kwamba hayo magari yote yalikuwa kwenye mwendo mkali.
Njia yenyewe ni mabonde na si lami hivyo gari ya kwanza kugota au kusimama ghafla likazua balaa nyuma yake.
Kutokana na wingi wa vumbi kuu magari mengine yalokuwa nyuma ya gari ya kwanza yote ikabidi yagongane na kwa kuwa yalikuwa katika mwendo mkali hakukuwa na muda wa kusimama.
Tusilaumu uchawi wala ulozi bali ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu ambao wameamua kuweka maarifa pembeni.
Njia na barabara hazina lami bali mabonde kwanini kuwepo mashindano kama tupo kwenye jangwa la Sahara?
Awajibishwe Paulo Makonda:Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Acha uongo. Aandamwe akiwa na kazi za chama tu? Alikokua kabla ya kuteuliwa zilikua zimekauka?Makonda anaandamwa na Damu za watu aliowafanyia Unyama awamu iliyopita.
Hayana bima yote....watauziana mil5 kila gari...wata order mengine ona pesa zinavyochezewaHayo MAgari hayarekebishiki mkuu..!?
Gari la Serikali kwenye msafara wa Bashite???
Mkuu, hii inasikitisha na kutia hasira sana, yaani unashindwa kuelewa anayeyabariki haya yote ana nia gani haswa.Matumizi mabaya sana ya fedha na rasilimali za Umma.
Magari ya Serikali yanafanya nini katika msafara wa Chama? Nani anaidhinisha haya kutokea.
Kuna vituo vya afya havina vitanda vya akina mama kujifungulia.
Kuna vituo vya Afya havina Solar
Kuna maeneo Wazazi hawawezi kununua vifurushi vya kujifungulia.
Kuna shule zimesimama kwa miti hata kuziita shule ulimi unasita. Kuna manatatizo mengi sana kwa Wananchi.
Msafara wa DAB unatumia mafuta kiasi gani! kuna Watu hawana pesa za kutoa miili ya Wapendwa ' pasimoto'
Leo magari zaidi ya 10 yanakuwa '' written off'' kesho tunaagiza mengine.
DAB anafaida gani katika Taifa hili kiasi cha kuruhusiwa kufuja mali za Umma kiasi hicho.
Miaka 60 ya CCM sisi ni masikini duniani! hapana si masikini wa rasilimali, ni masikini wa akili
Yaani unakuta
JokaKuu Pascal Mayalla
Gari la Serikali kwenye msafara wa Bashite???
Niko wilaya ya Kinondoni ambapo last months alitangaza hdharani kuwa atamkabidhi Mbunge Gwajima wa jimbo la kawe makatapila 20. Nimetembea na kuuliza kila mtaa, hakuna katapila lolote limepokelewa.
Kama kuna wafanyakazi wanatetemeka ujio wa Makonda basi ujuwe wafanyakazi hao ni MBURURA, yaani hawajitambui
Bashite ni Zerobrain, hakuna lolote atakisaidia CCM kwa hizo ziara zake
Hamnaga hoja upinzani sijui mnashida ipi?...Ziara hazina tija mbona wew ndio zero brain sas.Mtu kabaini utendaji mmbovu wa DED huko tanga unakuja kusema ziara haina tijaMsafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Anachokifanya Makonda ni uhuni na kutafuta umaharufu tu. aliyempatia hizo nguvu ni mpumbavu kabisa na asiyejitambua hata kidogo.Wewe ndie kichwani hamna kitu yeye anafuatilia utekelezaji wa ilani ya chama
Kwani hizo garama ni za kwako ama za chama waswahili mbona mnajiaibisha hivi..akina mbowe wakifanya ziara na mahelkopta wanatumiaga makaratasi sio.Matumizi mabaya sana ya fedha na rasilimali za Umma.
Magari ya Serikali yanafanya nini katika msafara wa Chama? Nani anaidhinisha haya kutokea.
Kuna vituo vya afya havina vitanda vya akina mama kujifungulia.
Kuna vituo vya Afya havina Solar
Kuna maeneo Wazazi hawawezi kununua vifurushi vya kujifungulia.
Kuna shule zimesimama kwa miti hata kuziita shule ulimi unasita. Kuna manatatizo mengi sana kwa Wananchi.
Msafara wa DAB unatumia mafuta kiasi gani! kuna Watu hawana pesa za kutoa miili ya Wapendwa ' pasimoto'
Leo magari zaidi ya 10 yanakuwa '' written off'' kesho tunaagiza mengine.
DAB anafaida gani katika Taifa hili kiasi cha kuruhusiwa kufuja mali za Umma kiasi hicho.
Miaka 60 ya CCM sisi ni masikini duniani! hapana si masikini wa rasilimali, ni masikini wa akili
JokaKuu Pascal Mayalla
Anachoma fedha za serikali, halafu akifika mikutanoni analia kwamba yeye ni wa masikini na wanyonge. Bilions za serikali zinateketea katika msafara wake, akifika mkutanoni anampiga mkwara Mkurugenzi wa Halmashauri kwa nini hajamlipa mkandarasi milioni tano!Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.