imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Huko Mitaani koswa koswa zake zilikuwa hazitangazwi.Acha uongo. Aandamwe akiwa na kazi za chama tu? Alikokua kabla ya kuteuliwa zilikua zimekauka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Mitaani koswa koswa zake zilikuwa hazitangazwi.Acha uongo. Aandamwe akiwa na kazi za chama tu? Alikokua kabla ya kuteuliwa zilikua zimekauka?
Wewe jiongeze usiwaze kila kitu ni uchawi wakati magari yalipita sehemu isiyostahili.tukiwaambia jengeni barabara za viwango hamtaki sasa barabara hazina hata miaka mingi tayari zinabandikwa viraka halafu usingizie uchawi.Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
NakaziaNa bado
Kwani uchawi ni nini ndugu?Umenena kweli tupu ndugu,baadhi akili zao zinawaza kila lenye kutokea ni ushirikina tu, utadhani walisoma darasani kwa kufundishwa na waalimu washirikina.
Asante sana mkuu, sina la kuongeza hata kidogo.Wengi wanadhani ni tatizo la DAB, hapana! hili ni tatizo la uongozi wa nchi.
Huu ufujaji na upotevu wa pesa za Umma ni sawa na zile zilizopotea kwenye taarifa ya CAG n.k.
Watumishi wa Umma wana mfumo unaowasimamia , DAB hayupo katika wasimamizi hao.
Magari ya Umma kwa kutumia rasilimali za Umma kwa shughuli za Chama si sahihi, ni makosa.
Magari zaidi ya 10 ya Umma yaliyoharibika hayatengenezwi au kununuliwa na Chama. Ni kodi za Watu wote.
Kuharibu magari 10 halafu tuagize kwa gharama za Tsh 400 Milioni kwa gari moja ni ufujaji uliokithiri.
Huyo Mwenezi hana , narudia tena hana uwezo wa kumwajibisha hata mfagizi wa Ofisi kwa kanuni za utumishi.
Bashite hana tofuati na Ali Kamwe au Ahme Ally wa Yanga na Simba.
Leo msafara wa magari ya umma unamhusu vipi.
Yeye si tatizo kwasababu atafanya tu anavyoona. Wanowajibika kwa hili ni Mh Rais , Mh Makamu wake na Mh Waziri mkuu wanaoruhusu ufujaji na upotevu wa pesa wakati kuna maeneo yanahitaji rasilimali.
JokaKuu Pascal Mayalla
Kuna wilaya moja inaitwa Tunduru, ni kama imesaulika katika suala zima la maendeleo. Wenyeji wa kule ikiwemo watumishi mbalimbali wa serikali ni wezi na washirikina wa kupindukia.Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Kufwa kufwaaanaNawaza tu matengenezo ya hayo magari. Kodi zetu. Na tayari ni mradi kwa maafisa Ugavi.
Utekelezaji wa chama na magari ya serikali.hebu punguza ujinga basi.Wewe ndie kichwani hamna kitu yeye anafuatilia utekelezaji wa ilani ya chama
Mwenezi atembee na gari yake moja tu kwa kuwa nafasi yake ni ndogo sana. Kutumia magari mengi ni UKICHAA tu"Initial assessment" ni kwamba hayo magari yote yalikuwa kwenye mwendo mkali.
Njia yenyewe ni mabonde na si lami hivyo gari ya kwanza kugota au kusimama ghafla likazua balaa nyuma yake.
Kutokana na wingi wa vumbi kuu magari mengine yalokuwa nyuma ya gari ya kwanza yote ikabidi yagongane na kwa kuwa yalikuwa katika mwendo mkali hakukuwa na muda wa kusimama.
Tusilaumu uchawi wala ulozi bali ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu ambao wameamua kuweka maarifa pembeni.
Njia na barabara hazina lami bali mabonde kwanini kuwepo mashindano kama tupo kwenye jangwa la Sahara?
Ni UPUMBAVU tu katika national level. Mwenezi ni mtu mdogo sana magari yote ya nini? StupidityKatika video hiyo nacho kuona ni uzembe wa madereva kuendesha kwa kasi bila kujali speed au stopping distance na kutokuwa na awareness wakati wa uendeshaji ndio maana wa nyuma akamgonga wa mbele na kuendelea…bima ndio itakula hasara hapo…polisi pia iwachukulie hatua hao madereva kwa kutofuata speed limits ktk barabara za aina hiyo…
Acha kutetea mediocrity. Makonda alipaswa kuwa peke yake kwenye safari hiyo. Na kama angefanya hivyo aisngesababisha magari mengine 12 kuharibikaKatika video hiyo nacho kuona ni uzembe wa madereva kuendesha kwa kasi bila kujali speed au stopping distance na kutokuwa na awareness wakati wa uendeshaji ndio maana wa nyuma akamgonga wa mbele na kuendelea…bima ndio itakula hasara hapo…polisi pia iwachukulie hatua hao madereva kwa kutofuata speed limits ktk barabara za aina hiyo…
Kama hayo ya kaskazini na Mashariki ndio maendeleo yenyewe basi tunasafari ndefu sana kama taifa.Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Je huyo DED alichaguliwa na UPINZANI? shabanmbarak kichwa chako ni bustani ya nywele tu, lakini ndani ni seti tupuHamnaga hoja upinzani sijui mnashida ipi?...Ziara hazina tija mbona wew ndio zero brain sas.Mtu kabaini utendaji mmbovu wa DED huko tanga unakuja kusema ziara haina tija
Na huwa wankimbia nini au wanamkimbia nani? Ukiona speed ya magari kwenye hii misafara utadhani wanakimbizwa. Nchi hii wajinga ni wananchi, wanapokuja kuomba kura huwa wanajidai nyie ndio wenye nchi, wakiishapata madaraka wananchi tunageuka kuwa adui, wanakaa mbali nasi, ulinzi unaimarishwa utadhani tuko vitani.
Jiulize sababu ya kukimbiza magari kwa kasi hiyo kwenye misafara yaho ni nini hasa?
Kwanza nashangaa kwanini hawakufa wote?
Duh hili tusi ni jipya sana aiseeJe huyo DED alichaguliwa na UPINZANI? shabanmbarak kichwa chako ni bustani ya nywele tu, lakini ndani ni seti tupu
Wanawahi benki mzeeNa huwa wankimbia nini au wanamkimbia nani? Ukiona speed ya magari kwenye hii misafara utadhani wanakimbizwa.