Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Hakuna uchawi hapo,anangalao ungesema laana ya dhuluma anuai,zilizotekelewa na watu anuai ningekueelewaamo🤣
 
Hakuna uchawi hapo,anangalao ungesema laana ya dhuluma anuai,zilizotekelewa na watu anuai ningekueelewaamo🤣
Siku ya Makonda ipo tu itafika, tuombe uzima. Ila huyu Makonda atateseka sana kabla hajakufa. Amedhulumu uhai wa watu wengi
 
Siku ya Makonda ipo tu itafika, tuombe uzima. Ila huyu Makonda atateseka sana kabla hajakufa. Amedhulumu uhai wa watu wengi
Malipo ni hapa hapa duniani wewe mwache atingishe tako lake tu lakini Karma haiwezi kumuacha salama hata kidogo
 
Ni matumizi mabaya ya Akili kwa nchi masikini
Kwanini wasiwe na Mabasi ya umma wakawabeba wote kwa pamoja
Unaenda na V8 vijijini kujionyesha kwa wakulima na wafugaji
Hata mbuzi wanawashangaa
Ila kwa kuwa wameamua kuiba kwa mtindo huo sawa waendelee tu maana wizi na uongo ni ndugu
 
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Hatimaye Samia amegundua kuwa ZeroBrain anaitia Serikali hasara
 
Back
Top Bottom