Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Hakuna uchawi hapo,anangalao ungesema laana ya dhuluma anuai,zilizotekelewa na watu anuai ningekueelewaamo🤣
 
Hakuna uchawi hapo,anangalao ungesema laana ya dhuluma anuai,zilizotekelewa na watu anuai ningekueelewaamo🤣
Siku ya Makonda ipo tu itafika, tuombe uzima. Ila huyu Makonda atateseka sana kabla hajakufa. Amedhulumu uhai wa watu wengi
 
Siku ya Makonda ipo tu itafika, tuombe uzima. Ila huyu Makonda atateseka sana kabla hajakufa. Amedhulumu uhai wa watu wengi
Malipo ni hapa hapa duniani wewe mwache atingishe tako lake tu lakini Karma haiwezi kumuacha salama hata kidogo
 
Ni matumizi mabaya ya Akili kwa nchi masikini
Kwanini wasiwe na Mabasi ya umma wakawabeba wote kwa pamoja
Unaenda na V8 vijijini kujionyesha kwa wakulima na wafugaji
Hata mbuzi wanawashangaa
Ila kwa kuwa wameamua kuiba kwa mtindo huo sawa waendelee tu maana wizi na uongo ni ndugu
 
Hatimaye Samia amegundua kuwa ZeroBrain anaitia Serikali hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…