Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

Nchi ya waziba viraka. Mji ramani zake zilichorwa zama zile nje ya mji ni magomeni, leo ramani hizo zinageuzwa ziwe za mji wenye maelfu ya watu wanaokuja Kati kati ya mji huku wakihitaji huduma ambazo Ramani ya mji haikuchorwa kuwa hivyo.
 
Epuka kabisa tabia hiyo mkuu, cm na barabara ni vitu viwili tofauti
 
Bwege sana Endelea kuchati na hao madem zako.
 
Mungu bado ana mpango na wewe
 
Siku nyingine usirudie hayo makosa, kuchati huku unatembea barabarani ni hatari sana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Dereva hana kosa.
Barbara za mwendokasi watu wanazitumia utafikiri wako sitting room zao.
Dereva kaokoa maisha yake kwa hilo nampongeza.
 
Ilibidi ugongwe ufe kabisa kwa uzembe wako.
Unachati na simu barabarani ukivuka, un faida gani?
 
Serikali ni kama imewaruhusu jamaa wajiendeshe nje ya sheria na kanuni za usalama barabarani.

Unapoona watumishi wa Mwendokasi wanawatunishia mpaka Polisi wasitumie barabara ile wakati wa dharura ujue kuna shida kubwa sana iliyotawaliwa na kiburi
Hapo hata nami nilishangaa sana, mfano ni wiki 2 tu zimepita hapo Kariakoo kuna majambazi walimpora Muhindi mfuko aliokuwa amehifadhia pesa, inamaana kama kuna foleni ndiyo basi tena hakuna msaada wowote kukabili hao majambazi maana wataondoka kiulaiiini bila wasiwasi wowote wa kufukuziwa na Polisi wakiwa wamepitia njia za mwendokasi.
 
pole yake mtembea kwa miguu
 
Dereva hana kosa.
Barbara za mwendokasi watu wanazitumia utafikiri wako sitting room zao.
Dereva kaokoa maisha yake kwa hilo nampongeza.
Kwa eneo lile hakuna ambaye angemdhuru dereva.
Polisi walikuwepo na kituo cha wanamaji kipo pale jirani
 
Jamii tumejibebesha lawama kwa jeshi ĺote la polisi kwa makosa ya askari wachache wasio na uadilifu.

Polksi ni jeshi letu na tunapaswa kuwapa sapoti kutekeleza jukumu lao la ulinzi wa wote ndani ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…