Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

Umeshaita mwendokasi, ina maana kila kitu ni kasi. Ukivuka zebra ya mwendokasi unatakiwa pia uende kwa kasi. Watu tuna tabia ya kujisahau sana ukifika kwenye zebra.
 
Pale mm nilisha wahi koswa koswa niliangalia upande mmoja kutoka kivukoni sikungalia upande wa kutoka posta ila naanza kuvuka tu nilisikia honii harafu jamaa wanajua kabisa pale kuna zebra ila speed wanazokuja nazo sio kabisa...wanatakiwa wawe wastaarabu kwa kweli sehem za watu wengi wapite taratibu.
 
Umeshaita mwendokasi, ina maana kila kitu ni kasi. Ukivuka zebra ya mwendokasi unatakiwa pia uende kwa kasi. Watu tuna tabia ya kujisahau sana ukifika kwenye zebra.
Je ndivyo sheria ya barabarani inavyoelekeza au uporipori wako ndo unavyokuongoza?
 
Unachart kabisa kama unaingia ndani kwa Baba yako, na ungegongwa ungemlaumu dereva daa!
 
We nae unaonekana ni zuzu sana.

Wangekugonga utawanyike mapafu.
 
Hata kama ni zebra lazima uangalie usalama wako sio kwasababu ni zebra unaingilia tu kama unacheza mchezo wa kamba, gari lenyewe kubwa vile kwanini usisubili lipite? Tujiongezage nasisi jamani.
 
waliopanga na kupitisha plan za huu mradi waliwaza makusanyo na mfumo wa uendeshaji wa yale magari uwe kama wa treni
Dereva yuko sahihi kukimbia kwani wangempiga.
Bila shaka atajisalimisha.
Siku hizi wavukaji kwenye zebra wanatamani kulala kabisa sijui nini kimewapata watu.
Ukisimama kuwapisha wapite ndio kwanza wanatamani kusimama barabarani
 
Hata kama ni zebra lazima uangalie usalama wako sio kwasababu ni zebra unaingilia tu kama unacheza mchezo wa kamba, gari lenyewe kubwa vile kwanini usisubili lipite? Tujiongezage nasisi jamani.
Mkuu wavuka zebra sasa wana kiburi sana utafikiri wana miili ya spare
 
Dereva yuko sahihi kukimbia kwani wangempiga.
Bila shaka atajisalimisha.
Siku hizi wavukaji kwenye zebra wanatamani kulala kabisa sijui nini kimewapata watu.
Ukisimama kuwapisha wapite ndio kwanza wanatamani kusimama barabarani
Huwa nawaona mtu anavuka kama anaingia kwa mpenzi wake, huwa nawashangaa sana
 
Aisee
 
Wakazi wa Jiji la DSM pia ni wakaidi na wajuaji hawapendi kufuata sheria zilizo wekwa.
Mfano Mbezi Stendi ya mabasi ya Magufuli kumejengwa njia ya juu ya kuvukia watembea kwa miguu lakini cha kushangaza unakuta mijitu inalazimisha kuvuka kwenye barabara kuu huku wakipata tabu ya kuinua viunzi vilivyo wekwa kuzui wasipite!!! inashangaza sana!! wakati mwengine watembea kwa miguu wanagongwa kwa sbabu ya kujitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…