Kwani hyo barabara ni ya polisi. Watu tuzingatie matumiz Sahihi ya barabara... Hyo dharura unaijuaje?
Namshukuru Mungu Dereva alikua na ubinaadamu hadi akasimama hakua dereva wa hovyohovyo, hao ndiyo madereva wanaoendesha chombo huku wakijua kua barabarani kuna watu wengine pia wanatumia,na kila Mtu na mawazo yake! Kuna madereva wengi tu wa mwendokasi ni wastaarabu sana na wanahuruma sana,tena wengine utawaona wanavipanga hadi vitoto vya shule kwa upole sana!!Ilibidi ugongwe ufe kabisa kwa uzembe wako.
Unachati na simu barabarani ukivuka, un faida gani?
Ulishawahi kuona bodaboda mwenye akili?Polisi walikuwepo hapo. Nnachojiuliza huyo bodaboda ni mpumbavu kiasi gan
Kwani hyo barabara ni ya polisi. Watu tuzingatie matumiz Sahihi ya barabara... Hyo dharura unaijuaje?
Siyo zuzu basi tu kuna Kama kitu kilinifunga kwa muda, maana hadi wale wafanyabiashara ndogo ndogo walikua wananiita kwa sauti lakini eti nilikua siwaasiki kabisa hadi gari iliposimama karibu yangu ndiyo ufahamu ukarudi na kuaanza kusikia hadi yale Makelele ya wafanyabiashara ndogo ndogo tena!!!We nae unaonekana ni zuzu sana.
Wangekugonga utawanyike mapafu.
Usisahau kua kila Binaadamu analindwa na Malika wake hapa Duniani, maana kuna mengi sana,na mengine yapo Gizani na wala hatuyaoni!!Kuna watu ni wajinga sana aisee... ningekuwa mimi ningepita nae jumla jumla tukutane peponi kwa baba.
Sikua na earphone,nilikua nachati kawaida tu! Sema Kama kuna kitu kilinifunga kwa muda!!Sio wewe ulivunjiwa simu na wasamaria wema baada kukuita huku umevaa earphone husikii hata kidogo?kama ni wewe endelea kuomba Mungu maana siku ile usingepona.
Kwanini ihusike wakati ile ni special lane?Halafu sijui kwanini barabara ya mwendokasi haihusiki na matuta
Uache na upumbavu bwana mdogo wa kuvuka huku unachat na simu.Namshukuru Mungu sana,siku moja Jioni nilikua navuka barabara ya mwendokasi pale Utumish kwenye Zebra cross huku nachati na simu yangu,sikujua kua nimemaliza kuvuka kumbe bado niko ndani ya barabara,Basi kumbe upande wa pili bus la mwendokasi linakuja wangu wangu kutoka kivukoni,huku upande wa pili wafanyabiashara ndogo ndogo wapale pembeni wananiita kwa sauti kubwa sana nitoke barabarani,lakini masikini nilikua siwaasiki kabisa! Mungu ni mwema sana yule dereva wa mwendokasi alisimama karibu yangu kabisa,na ndiyo nastuka kua kumbe bado niko barabarani!! Kwa kweli namshukuru Mungu hadi Leo kwa kuniponya kwa hiyo ajali!!!!
Huyo afungwe yeye na boda boda wake
Una bahati sana.Namshukuru Mungu Dereva alikua na ubinaadamu hadi akasimama hakua dereva wa hovyohovyo, hao ndiyo madereva wanaoendesha chombo huku wakijua kua barabarani kuna watu wengine pia wanatumia,na kila Mtu na mawazo yake! Kuna madereva wengi tu wa mwendokasi ni wastaarabu sana na wanahuruma sana,tena wengine utawaona wanavipanga hadi vitoto vya shule kwa upole sana!!
Kapaniki ajali si kitu kidogondio hivyo na hata zebra zipo kwenye vituo vya mwendokasi tu, so hata hapo hayyt kempiski hakuna zebra, zebra zipo huku kituoni posta mpya nbc bank.
Hapo dreva wa mwendokasi kosa lake ni kukimbia baada ya kutokea hiyo ajali
SawaUshaambiwa mwendo kasi Mzee baba
Sawa [emoji1545]Kwanini ihusike wakati ile ni special lane?
Unajua pa kunipata sema tu unajisahaulishaNimekumiss sana
Jmn jmn sina kwinginee zaidi ya hapaUnajua pa kunipata sema tu unajisahaulisha
BTW I miss u too 🤩
Huku mbagala sijui itakuwaje maana boda boda wa huku wote akili hawana ,wao wanaangalia tu mbele pikipiki zao hazina site mirrow , na wengi wao hata sheria za kuvuka barabara hawazijui,waliopanga na kupitisha plan za huu mradi waliwaza makusanyo na mfumo wa uendeshaji wa yale magari uwe kama wa treni