Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

WaTz kwa kulalamika bhana, kama mwanamke mjamzito.
 
Nakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
Kwenye barua ya kazi hayo Mambo hayapo, afu kwa ambao tushaaply miaka ya nyuma copy za vyeti unazikuta washakuwekea
 
Nakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
ss unahakiki vya nn wakat kwenye mfumo wanataka upload vyet og......reference ya mwaka jana hakukua na kuhakiki veti....usipotezee watu elaa na mda mana hata kwenye tangazo hakuna huo utopoloo
 
Mliofanikiwa kuingia ajiraportal mmetumia simu au laptop?mana haifunguki kabisa kwangu
 
3 (v) naomba maelezo kwa nae elewa
Kuna watu wanafanya kazi kwenye NGOs kwa kushirikiana na wizara ya afya/tamisemi kupitia halmashauri katika miradi mbalimbali ya afya huko mahospitalini.....ndio wanaozungumziwa hapo
 
Wakuu, kuna watu mfumo unafanya kazi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…