Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 417
Kwani wewe ni MwalimuHizo pdf hazifunguki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni MwalimuHizo pdf hazifunguki
Ipo hivyoKwenye Tangazo la ajira za afya yapo maelekezo. Rudi kasome Tangazo
Hapana, kuna mdogo wangu namsaidia.Kwani wewe ni Mwalimu
Boss unaweza ukatuma hy pdf kwa picha kama hv ulivyofanya mana kwangu naona pdf hazifunguki na kwenye mfumo inanigomea kufunguka.
Nakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga achaJe Ku hakiki vyeti kwa mwanAsheria ni lazma?
WaTz kwa kulalamika bhana, kama mwanamke mjamzito.Hii nchi ubabaishaji mwingi sana...
Waziri mzima unatoa matamko ambayo hayajathibiti!
Tangazo linasema wamefungulia dirisha la kutuma maombi kuanzia tarehe 20/04 lakin cha ajabu hadi sasa mfumo umefungwa!
Nashauri mamlaka zetu ziwe zinafanya maandalizi ya kutosha kwanza na kuhakikisha kila kitu kiko sawa ikiwemo mfumo wenyewe kabla ya kutoa matamko/press release za kisenge kama hizi
Je Ku hakiki vyeti kwa mwanAsheria ni lazma?
Huu ndo muda wa kuona watu hawakutakii mema kwenye hizi ajira, kwan kwenye hy pdf hakuna maelekezo.? Mm nmeshindwa kufungua hy pdf.Nakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
Ingekuwa na ulazima wangesema kwenye mwongozo.Nakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
Kwenye barua ya kazi hayo Mambo hayapo, afu kwa ambao tushaaply miaka ya nyuma copy za vyeti unazikuta washakuwekeaNakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
Kwenye mwongozo hayo Mambo hayapo,, sijui watu wanayatoa wapiIngekuwa na ulazima wangesema kwenye mwongozo.
ss unahakiki vya nn wakat kwenye mfumo wanataka upload vyet og......reference ya mwaka jana hakukua na kuhakiki veti....usipotezee watu elaa na mda mana hata kwenye tangazo hakuna huo utopolooNakusihi sana... Tena sana... Kahakiki hivyo vyeti (copy) kama unaona ni ujinga acha
Kuna watu wanafanya kazi kwenye NGOs kwa kushirikiana na wizara ya afya/tamisemi kupitia halmashauri katika miradi mbalimbali ya afya huko mahospitalini.....ndio wanaozungumziwa hapo3 (v) naomba maelezo kwa nae elewa
Kwenye Tangazo la wizara ya afya
ACHA KUDANGANYA WENZAKOKwenye barua ya kazi hayo Mambo hayapo, afu kwa ambao tushaaply miaka ya nyuma copy za vyeti unazikuta washakuwekea
Nenda mahakamani, Mimi siendi basiACHA KUDANGANYA WENZAKO