Mbona barua inasema afya nafasi 1650 au nimeangalia nyingine..nieleweshe mkuu.Usiwe na pupa kiongozi, panga nyaraka zako, tulia then ingia kwenye mfumo uanze kuomba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona barua inasema afya nafasi 1650 au nimeangalia nyingine..nieleweshe mkuu.Usiwe na pupa kiongozi, panga nyaraka zako, tulia then ingia kwenye mfumo uanze kuomba..
Kwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatu
Mimi natumia majina mawili kwenye vyeti na Nida majina matatu hapo inakuaje.....hakuna changamoto yyte mkuu?..Kwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatu
Huu ujinga wameufanya Nida, yaani wanakubadilishia jina, na sehemu ya ku edit hamnaMimi natumia majina mawili kwenye vyeti na Nida majina matatu hapo inakuaje.....hakuna changamoto yyte mkuu?..
Ilkuwa hvy hvy 2020 na Kuna watu waliajiliwaMimi natumia majina mawili kwenye vyeti na Nida majina matatu hapo inakuaje.....hakuna changamoto yyte mkuu?..
Duuh!! Ngoja tujaribu tuone itakuaje.Ilkuwa hvy hvy 2020 na Kuna watu waliajiliwa
Kwangu huku inaload tu haifungukiKuna aliyefanikiwa kulog in mpaka sasa?
Kuna baadhi ya harufi hazipoKwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatu
kiongozi acha malalamiko, mfumo unazidiwa watu wengi wana apply, so labda utatulia hivi karibuni.View attachment 2196133
Ni mwendo wa Kuload tuu
Wizara wanajiaibisha mno na hili
PO-ralg!
Bashungwa na team yake wajitathmini
Mkuu hyo ishu yako inabidi Uende Nida, Watakuelekeza utaandika barua na kuna gharama utatoa pale ili waweze kurekebisha hilo Jina ila utasubiri miez kadhaaKuna baadhi ya harufi hazipo
inachukua miez mingap kaka afuuu unatakiwa uende na myalaka zipii ili wawezee kurekebishaa....Mkuu hyo ishu yako inabidi Uende Nida, Watakuelekeza utaandika barua na kuna gharama utatoa pale ili waweze kurekebisha hilo Jina ila utasubiri miez kadhaa
kaka barua ya kujitolea inahitajika?je vyeti ni certified au orijino?Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.
Mm Mama angu Kuna shida ilitokea km yko but yeye ndo alikosea mwnyew maana wnyewe walipelekewaga fomu wajaze enzi izo kazini so kaja kuangaika kurekebisha ivi karibuni but alienda na vitambulisho vyake kma cha kura, kuzaliwa Ivo ndo muhimu nakumbuk alivyonambia afu ilichukua km wk 3 ivi bt nadhan inategemea so km unaharaka inabid uongee vzur ssa[emoji28]...afu ingia kwny web ya nida Kuna muongozo umoinachukua miez mingap kaka afuuu unatakiwa uende na myalaka zipii ili wawezee kurekebishaa....
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo.kaka barua ya kujitolea inahitajika?je vyeti ni certified au orijino?
😂😂😂 Mpaka nimechoka ghafla 😂😂Mi ndo nawaza kufuata cheti chuo hapa nipitie na nida kuchukua kitambulisho