Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

IMG_9212.jpg

Ni mwendo wa Kuload tuu
Wizara wanajiaibisha mno na hili

PO-ralg!

Bashungwa na team yake wajitathmini
 
Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.
kaka barua ya kujitolea inahitajika?je vyeti ni certified au orijino?
 
inachukua miez mingap kaka afuuu unatakiwa uende na myalaka zipii ili wawezee kurekebishaa....
Mm Mama angu Kuna shida ilitokea km yko but yeye ndo alikosea mwnyew maana wnyewe walipelekewaga fomu wajaze enzi izo kazini so kaja kuangaika kurekebisha ivi karibuni but alienda na vitambulisho vyake kma cha kura, kuzaliwa Ivo ndo muhimu nakumbuk alivyonambia afu ilichukua km wk 3 ivi bt nadhan inategemea so km unaharaka inabid uongee vzur ssa[emoji28]...afu ingia kwny web ya nida Kuna muongozo umo
 
najaza kwa mfano, 2016-04-03503, hawaleti mwaka.
 
Back
Top Bottom