Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Kwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatu
Nami Nina utata katika majina,,,
Cheti cha nida + kuzaliwa vina majina matatu lakin vyeti vya taaluma vina majina mawili!

Tunaomba mwongozo tafadhali
 
kiongozi acha malalamiko, mfumo unazidiwa watu wengi wana apply, so labda utatulia hivi karibuni.
Wewe ni nani wa kutetea huu ubabaishaji? Hii adha watu walikutana nayo kipindi cha nyuma na wizara ikiridhika! Huoni ni udhaifu wa mamlaka husika huo?
 
Nami Nina utata katika majina,,,
Cheti cha nida + kuzaliwa vina majina matatu lakin vyeti vya taaluma vina majina mawili!

Tunaomba mwongozo tafadhali
Mi najua unaenda kuapa kwa mwanasheria kwamba majina yote ni yangu..
Ila kweny mfumo sijui itakuaje hapo
 
Wadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mm Mama angu Kuna shida ilitokea km yko but yeye ndo alikosea mwnyew maana wnyewe walipelekewaga fomu wajaze enzi izo kazini so kaja kuangaika kurekebisha ivi karibuni but alienda na vitambulisho vyake kma cha kura, kuzaliwa Ivo ndo muhimu nakumbuk alivyonambia afu ilichukua km wk 3 ivi bt nadhan inategemea so km unaharaka inabid uongee vzur ssa[emoji28]...afu ingia kwny web ya nida Kuna muongozo umo
ngoja niwakusanyie nyaraka zote niwafate jumatu ntabeba had kadi ya klinikii kudadadekiii.......asante kwa ushauri wakoo
 
Mi najua unaenda kuapa kwa mwanasheria kwamba majina yote ni yangu..
Ila kweny mfumo sijui itakuaje hapo
nmeongea na tamisemi kuusu ili swala la mjina wakanambia kigezo mojawapo cha mfumo kukutema ni hikii majina kutoendanaa....so tujiandae kisaikolojiaa kwa wale majina hayaendaniii....Mungu atende miujiza yakee maana had uje ufatilie nida cjuii kama tutameet kulekebisha....afu wanavolinga Nida aseeh
 
Wadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ivi kwamm ambae sijajisajili kwenye mfumo mbona inakataa
 
Ata sielewi nikiingiza namba ya nida inagoma. Email inagoma pia sijui tatizo nn
Screenshot_20220422-212454.jpg
 
nmeongea na tamisemi kuusu ili swala la mjina wakanambia kigezo mojawapo cha mfumo kukutema ni hikii majina kutoendanaa....so tujiandae kisaikolojiaa kwa wale majina hayaendaniii....Mungu atende miujiza yakee maana had uje ufatilie nida cjuii kama tutameet kulekebisha....afu wanavolinga Nida aseeh
Huo Ni ujinga kwann mfumo haukutemi sahiv, mwaka juz Kuna watu walikosea majina na na mwaka wa kuzaliwa wanaajiriwa
 
Wadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Embu waulize kwa simu
 
Wadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Nipo na changamoto kama yako mkuu ...mi nimeishia hapo sijui hta inakuajeh.
 
Nauliza jinsi ya kuongeza ukubwa wa mb kwenye cheti in pdf. Kuna anaejua anielekeze maana vyeti vyangu vyote vipo below 300 kb
 
Back
Top Bottom