akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Hicho OG unawekaje? OG ni hardcopy ujueNiliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo.
Barua ya kujitolea nadhan inapita huko ulipojitolea (sina uhakika hapa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho OG unawekaje? OG ni hardcopy ujueNiliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo.
Barua ya kujitolea nadhan inapita huko ulipojitolea (sina uhakika hapa)
Scan original certificates then uploadHicho OG unawekaje? OG ni hardcopy ujue
Sio kwamba hajui, anajua kila kitu ila anajitia uchizi. Imebidi nigonge 'like' ili ajue nimeona reply yake then niwe kimyaScan original certificates then upload
Ndio wanachomaanisha mkuu.
Nami Nina utata katika majina,,,Kwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatu
Wewe ni nani wa kutetea huu ubabaishaji? Hii adha watu walikutana nayo kipindi cha nyuma na wizara ikiridhika! Huoni ni udhaifu wa mamlaka husika huo?kiongozi acha malalamiko, mfumo unazidiwa watu wengi wana apply, so labda utatulia hivi karibuni.
Mi najua unaenda kuapa kwa mwanasheria kwamba majina yote ni yangu..Nami Nina utata katika majina,,,
Cheti cha nida + kuzaliwa vina majina matatu lakin vyeti vya taaluma vina majina mawili!
Tunaomba mwongozo tafadhali
Kila la heri waomba ajira....Sio kwamba hajui, anajua kila kitu ila anajitia uchizi. Imebidi nigonge 'like' ili ajue nimeona reply yake then niwe kimya
ngoja niwakusanyie nyaraka zote niwafate jumatu ntabeba had kadi ya klinikii kudadadekiii.......asante kwa ushauri wakooMm Mama angu Kuna shida ilitokea km yko but yeye ndo alikosea mwnyew maana wnyewe walipelekewaga fomu wajaze enzi izo kazini so kaja kuangaika kurekebisha ivi karibuni but alienda na vitambulisho vyake kma cha kura, kuzaliwa Ivo ndo muhimu nakumbuk alivyonambia afu ilichukua km wk 3 ivi bt nadhan inategemea so km unaharaka inabid uongee vzur ssa[emoji28]...afu ingia kwny web ya nida Kuna muongozo umo
Wacha tuoneMi najua unaenda kuapa kwa mwanasheria kwamba majina yote ni yangu..
Ila kweny mfumo sijui itakuaje hapo
nmeongea na tamisemi kuusu ili swala la mjina wakanambia kigezo mojawapo cha mfumo kukutema ni hikii majina kutoendanaa....so tujiandae kisaikolojiaa kwa wale majina hayaendaniii....Mungu atende miujiza yakee maana had uje ufatilie nida cjuii kama tutameet kulekebisha....afu wanavolinga Nida aseehMi najua unaenda kuapa kwa mwanasheria kwamba majina yote ni yangu..
Ila kweny mfumo sijui itakuaje hapo
Ivi kwamm ambae sijajisajili kwenye mfumo mbona inakataaWadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Nenda na hicho kitambulisho kilichokosewa na 20,000 mambo mengine Watakuelekeza hukohuko.inachukua miez mingap kaka afuuu unatakiwa uende na myalaka zipii ili wawezee kurekebishaa....
Huo Ni ujinga kwann mfumo haukutemi sahiv, mwaka juz Kuna watu walikosea majina na na mwaka wa kuzaliwa wanaajiriwanmeongea na tamisemi kuusu ili swala la mjina wakanambia kigezo mojawapo cha mfumo kukutema ni hikii majina kutoendanaa....so tujiandae kisaikolojiaa kwa wale majina hayaendaniii....Mungu atende miujiza yakee maana had uje ufatilie nida cjuii kama tutameet kulekebisha....afu wanavolinga Nida aseeh
Embu waulize kwa simuWadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Nipo na changamoto kama yako mkuu ...mi nimeishia hapo sijui hta inakuajeh.Wadau me nmejarbu kuomba nmeishia kwnye taarifa za chuo , inanizuia kujaza completion year na ku upload cheti na transcript.. shida inaweza kuwa nn wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Kama vinasomeka vema, hamna haja ya kuwa na MB nyingi! Upload tu.Nauliza jinsi ya kuongeza ukubwa wa mb kwenye cheti in pdf. Kuna anaejua anielekeze maana vyeti vyangu vyote vipo below 300 kb
Hayo ni maneno yako au ndouhalisia??. Nahitaji taarifa kutoka mamlaka husika sio unagushi.Kama vinasomeka vema, hamna haja ya kuwa na MB nyingi! Upload tu.