Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa
Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017...
Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati ajira, unahisi anajisikiaje anapochukuliwa mtu wa 2022 yeye akiachwa?
Wabunge wetu, wamekuwa wepesi wa kutamka swala la kujitolea, lakini wamesahau kwamba kuna watu Wapo mtaani tangu 2015, kwa udhalimu wa mwendazake aliewaingiza bungeni, na kushadidia Mambo ya "kis*ng*e" ambayo hayana faida kwa Watanzania.
Leo, unakuta mwalimu huyo huyo ana appy kazi Ajira portal, nafasi ipo moja wanaoitwa kwenye interview 1400+ anaishi kigoma anatakiwa aende Dodoma! Hivi tunajenga au tunabomoa?
Hili bomu, halina muda litalipuka na kasheshe yake mtaiona!
Endeleeni kusifu kwa nyimbo nzuri na mapambio.
Nawasilisha!