Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

M

Mi nimehitimu mwaka 2009 najua ninachokisema. Kwa jk hakuna mwl au dk aliyekuwa anaachwa wote lazima wapate ajira na hakukuwa na haya mambo ya kuaply Bali majina ya wote yalikuwa yanaorodheshwa vyuoni tu
Kwahio wahitimu wote ni ma Dkt na Walimu tu? 😀

Mbona mnakuwa hamtumii akili jamani. Vipi Procurement, Marketing and Accountants. Nao wana fair share ya hizo fursa?
 
Mi nimemaliza 2009 najua Hilo. Watu watu tulipomaliza kipindi Cha jk wote tuna ajira hakuna aliyeachwa
Una hakika unachokizungumza hebu njoo na takwimu sio maneno matupu lini unemployment rate imekuwa zero hili tatizo ni kubwa kuliko unavyoliongelea kiwepesi hivyo urasimu ni mkubwa na gharama vile vile kurasimisha biashara nchini​
 
Tatizo linaanzia hapo! Kuhitimu wewe 2009 na mambo yalivyokuwa yakienda, sidhani kama kuna uhusiano.

Vijana ninaowafahamu, wasiopungua 23, wamehitimu kati ya 2008 na 2012, wapo mtaani wanapiga mishe zao tu baada ya ajira kugoma, ni waalimu!

Niambie, vyuo vyote vya ualimu na udaktari vimekuwa vikitema wahitimu wangapi kwa mwaka kipindi hicho, kisha unijuze wangapi wapo kwenye ajira ya serikali, tuone kama kweli wote waliajiriwa TENA kwa kufuatwa vyuoni.

JK anatoka madarakani, anaacha watumishi wa serikali 400,000(Hewa + Vyeti feki)

Kwa sasa, serikali ina watumishi wangapi?
Basi walijifanya kukataa ajira tu lakini walipangiwa waulize watakwambai
 
elimu yetu inatumia mfumo wa utahini na upimaji njia pekee ya kupunguza malalamiko ni kutumia kigezo cha ufaulu wao wale wenye ufaulu mkubwa wapewe kipaumbele
 
Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa

Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017...

Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati ajira, unahisi anajisikiaje anapochukuliwa mtu wa 2022 yeye akiachwa?

Wabunge wetu, wamekuwa wepesi wa kutamka swala la kujitolea, lakini wamesahau kwamba kuna watu Wapo mtaani tangu 2015, kwa udhalimu wa mwendazake aliewaingiza bungeni, na kushadidia Mambo ya "kis*ng*e" ambayo hayana faida kwa Watanzania.

Leo, unakuta mwalimu huyo huyo ana appy kazi Ajira portal, nafasi ipo moja wanaoitwa kwenye interview 1400+ anaishi kigoma anatakiwa aende Dodoma! Hivi tunajenga au tunabomoa?

Hili bomu, halina muda litalipuka na kasheshe yake mtaiona!

Endeleeni kusifu kwa nyimbo nzuri na mapambio.

Nawasilisha!
Kifunze kuandika kwanza. Uandishi kama darasa la tano
 
Back
Top Bottom