Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hahahaha kaka nimekuelewa Sana lkn kwa maisha yangu kile kipindi nilikuwa sina hata nauli ya kwenda kwenye usaili na Mambo mengine kwani ajira zote za majeshi niliomba ila sikupata nafasi kuna wanaitwa baba kantuma walikwenda wengi wengine nilikuwa nawafahamu hii hali kwa macho ilinifanya hadi leo nione bila connection hutoboi Sababu ni hiyo me pekee nisiyekuwa na connection ndiyo nilikosa nafasi zote . kingine mimi kama kijana hizi nafasi nazipambania bila msaada wa mtu yoyote ukiangalia uchumi siyo mzuri kwangu Safari hii nimeanza tena kuomba hiyo magereza tuone rehma za Mungu ila kwa interview nilizofanya ni nyingi Sana ninavyokwambia kuna rafik angu yeye kakata tamaa kabisa kuhusu hizi ajira umwambii kitu ...Hahaa
Sema we chalii jau sana, hivi ndiyo mtu wa kukata tamaa hivi hadi kitaa?
Hatukatai connection muhimu, ila walau mtu unajaribu kwa nafasi yako.
Last October nilikuambia apply lile tangazo la askari wanyama pori (Conservation Rangers) la Tanapa, ukatoa same excuses "oooh wana watu wao"
Walio -apply na kupiga ule usaili, nafasi ziliongezwa za kutosha tu na wengine waliofaulu na kubaki kwenye kanzidata, wakaitwa kama security guards (TPA) tangazo la April hapo.
Stop whining, dunia haina huruma hii.
Haya kama hujavuka 25 bado na ulipita Jakata, apply hilo la TFS - Security Guards. TFS, TAWA & TANAPA wote ni Jeshi la Uhifadhi kwa sasa, maslahi yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!Hahahaha kaka nimekuelewa Sana lkn kwa maisha yangu kile kipindi nilikuwa sina hata nauli ya kwenda kwenye usaili na Mambo mengine kwani ajira zote za majeshi niliomba ila sikupata nafasi kuna wanaitwa baba kantuma walikwenda wengi wengine nilikuwa nawafahamu hii hali kwa macho ilinifanya hadi leo nione bila connection hutoboi Sababu ni hiyo me pekee nisiyekuwa na connection ndiyo nilikosa nafasi zote . kingine mimi kama kijana hizi nafasi nazipambania bila msaada wa mtu yoyote ukiangalia uchumi siyo mzuri kwangu Safari hii nimeanza tena kuomba hiyo magereza tuone rehma za Mungu ila kwa interview nilizofanya ni nyingi Sana ninavyokwambia kuna rafik angu yeye kakata tamaa kabisa kuhusu hizi ajira umwambii kitu ...
Samahani mkuu Nieleweshe vizuri apo TFS ni wakina nani na je wametoa nafasi ?Hahah!
Naelewa man, kuna muda mtu unaweza kata tamaa kabisa lakini haina budi kupambana mpaka tone la mwisho aisee.
Hizi za sasa we tuma maombi kwa sehemu yako, Magereza na kama umri unaruhusu TFS, usikwame aisee.
Yani kama ile ya Tanapa, ungechomoka tu chap kutoka Tanga hadi Chugga(hata kwa treni babu) na usaili ulikua kama lonja ulizotoa.
TFS (Tanzania Forest Services Agency) /Mamlaka ya Misitu Tanzania.Samahani mkuu Nieleweshe vizuri apo TFS ni wakina nani na je wametoa nafasi ?
Sina moja mkuu Asante sana kwa taarifa ngoja nianze fatilia niombe napoTFS (Tanzania Forest Services Agency) /Mamlaka ya Misitu Tanzania.
Wametoa nafasi kadhaa zikiwemo za Security Guards. Tangazo lipo ajira portal man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivyo manSina moja mkuu Asante sana kwa taarifa ngoja nianze fatilia niombe napo
Nitajitahid ila kwa Internet cafe mana kwa simu portal wanazingua mnoFanya hivyo man
Miamia mzee, fuata miongozo tu. Barua usisahau ku-sign, akaunti iwe na picha, vyeti hakikisha vimehakikiwa etc etc..Nitajitahid ila kwa Internet cafe mana kwa simu portal wanazingua mno
Au kwa laptop jmos ntafanya kitu
Nime apply Forest officer mkuu imekubali sasaMiamia mzee, fuata miongozo tu. Barua usisahau ku-sign, akaunti iwe na picha, vyeti hakikisha vimehakikiwa etc etc..
Maombi yakikubali kwenda kama ni TFS basi anza kujifua kabisa maana askari lazima uanze na physical tests (usaili wa vitendo) halafu oral mwishoni.
Oi japo sina uhakika sana, sema hapo system itakua inakukataa kisa upo over qualified. Maana kwa post ya security guard inatakiwa kisome cheti cha CSEE na Jakata tu man.Nime apply Forest officer mkuu imekubali sasa
Nakuja ku apply Forest guard inakataa tena na vigezo ninavyo shida ni nini ? maana kuomba post zaidi ya moja ajira portal wanasema inaruhusiwa na inakubali kwangu inaandika application failed
Afu iyo sio kwako tu mzeeNime apply Forest officer mkuu imekubali sasa
Nakuja ku apply Forest guard inakataa tena na vigezo ninavyo shida ni nini ? maana kuomba post zaidi ya moja ajira portal wanasema inaruhusiwa na inakubali kwangu inaandika application failed
Saohill washaanza usahili ukoOi japo sina uhakika sana, sema hapo system itakua inakukataa kisa upo over qualified. Maana kwa post ya security guard inatakiwa kisome cheti cha CSEE na Jakata tu man.
Sasa kama tayari ulisha-upload cheti cha Bachelor au Diplo lazima ikuteme.
Anhaa, ni TFS na utumishi tu wenyewe ndo wamehusika? Au wameomba na 841 KJ kuhusikaSaohill washaanza usahili uko
Sijafaham vizur lakini naona kwenye video zao wengi wao ni raia tu cheki kwenye page zao wamepostAnhaa, ni TFS na utumishi tu wenyewe ndo wamehusika? Au wameomba na 841 KJ kuhusika
Hao ni walinzi wa mdaSaohill washaanza usahili uko
Ni TFS Wana train vijana kwa kazi ya ulinzi ya mda sao hill plantationAnhaa, ni TFS na utumishi tu wenyewe ndo wamehusika? Au wameomba na 841 KJ kuhusika
Sijafaham vizur lakini naona kwenye video zao wengi wao ni raia tu cheki kwenye page zao wamepost
Anhaa, nikajua ndo ule usaili unafanyika hukoNi TFS Wana train vijana kwa kazi ya ulinzi ya mda sao hill plantation
Binafsi nilijua ivoAnhaa, nikajua ndo ule usaili unafanyika huko