Shortlist huwa inatolewaje wadau? Mana tushazoea utumish
 
Jamani vp kuhusu mahali pa kufanya huo usaili kama kawaida watagawa kikanda au ndio mwendo wa kwenda kujazana pale duce watu wa kigoma au musoma huku sijui itakuwaje
 
Kwan deadline ni lini wadau? Mbona tangazo hilo limenipita
 
Kwan deadline ni lini wadau? Mbona tangazo hilo limenipita
Oh muda wake ulishapita tar 9.
Jitahidi uwe active mitandaoni kwwnye mambo yahusuyo ajira ili usiwe unapitwa na mambo ya msingi km haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…