Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...
Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...
mimi nimeuliza, kumbe mmeshaitwa?Mbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad
Sasa Ngoja Nikupe Somo La Imani Ndugu Yangu : Sasa Hivi ni jioni Imefika Umepumzika ,Una Mipango Yako Ya Kesho Tena Ya kidunia.... Sasa Basi Mungu Anajua La hata Sekunde Moja mbele yako, Yani Unapanga Ya kesho ila unaweza kesho ndio usiamke Milele... Sasa Nakuuliza swali kama hatujui ya kesho Je kwanini Tunaweka Mipango Kwa Ajiri ya kesho?? Kwann una imani kuwa kesho utaamka???Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaika
Yani unaweza Ukapewa hadi Mtihani na majibu yake ila kama Mungu kasema hii sio ridhki yako ,My friend unaweza kupata na ikaondoka....Miezi Kama Minne Nyuma Kuna Vijana wa Tra umri miaka 28 mpka 32 walikamatwa Iringa na TIN ,Leseni etc za Magendo ....Wakakamatwa wakapelekwa mahakamani na kazi wakafukuzwa..... Unajua Maana Yake Nini??? Mungu ana njia zake....Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaika
Amiin🙏Mungu aikumbuke imani yako hii na ibaki ushuhuda kwako na kwa wengine. Amin umepata.
Amin 🙏Mungu aikumbuke imani yako hii na ibaki ushuhuda kwako na kwa wengine. Amin umepata.
Mmmh wenye experience watujibuu humuuHivii Wanarudishaga majibu baada ya muda ganiii
Mmmmh Sasa wameitwa linii duuuuh hiii balaaaView attachment 2688865
Jamani nimekutana na hii kwenye uzi mmoja huko ..ni kweli ?! Au kutiana pressure tu
Haina ukweli wowote mkuu, bado bila bila mpaka sasa.View attachment 2688865
Jamani nimekutana na hii kwenye uzi mmoja huko ..ni kweli ?! Au kutiana pressure tu
Ww umesahau mwaka jana tuliomba mwez wa 4 alaf tukaitw mwez wa 12? Kuwa na subria[emoji122]Hii interview ipo au Kuna mabadiliko?? Mwenye taarifa atupe lolote
Jaman group la tax management officer kama lipo mniungehaya sasa wazee mkeka umetoka rasmi kila mtu akaangalie bahati yake kama yupo kweny shortlist.....nimewaletea kabisa hapaView attachment 2750795
Wamepanga venue kutokana na mtu alipo au wamezingatia vigezo gani? Mbona wengine wa Mwanza tumepelekwa Dar jamani wakati naona kuna venue ya Saut Mwanza,nasikia kuliahaya sasa wazee mkeka umetoka rasmi kila mtu akaangalie bahati yake kama yupo kweny shortlist.....nimewaletea kabisa hapaView attachment 2750795
inategemea wewe ulijaza address ipi wengi wamepangiwa sehemu za karibu ana walipo na mikoa husikaWamepanga venue kutokana na mtu alipo au wamezingatia vigezo gani? Mbona wengine wa Mwanza tumepelekwa Dar jamani wakati naona kuna venue ya Saut Mwanza,nasikia kulia