nastic boy
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 190
- 17
Lengo ni kukabiliana na tatizo la uhaba wa waalimu na sivyo uonavyo wewe. Shule zimejengwa nyingi wakat walimy ni wachache. Kwa nini walomu waliokwisha kuhitim wasiajiriwe mapema ili kusaidia hawa watoto wa familia duni wanaosoma ktk shule hizi za kata?
Lengo ni kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu na sivyo uonavyo weweKwani mliweka makubaliano kuwa mtaajiriwa??? Jengeni hoja nyingine tuache mazoea
L...
Kwani mliweka makubaliano kuwa mtaajiriwa??? Jengeni hoja nyingine tuache mazoea ....
ni kweli uko sawakuajiriwa lazma hata kama october pole wew ucye na matumain na accountancy yako utakua mhasibu wa sent za wallet yako
Yani walimu anzisheni tuition tu.....wakiwaajiri muda huu mtateseka sana......nionavyo mimi hiyo pesa ishapelekwa kwenye kampeni,daftari la kupigia kura,vitamblisho vya taifa na katiba.....wakiwaajiri kwa sasa hakuna mtakacholipwa matokeo yake mtaanzisha migomo tu.
siku ndo inapita ivyo
mtalalamika ivyo ivyo mpka mtajikuta mmefka mwez wa saba
My country is like a gheto