Ajira Serikalini iwe miaka 10 tu, baada ya hapo watu wastaafishwe

Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
 
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
 
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
 
Mikataba ni chanzo kizuri cha ufanisi kutokana na vifungu vya makubaliano vinavyowabind pande zote.

Sasa we upewe office ndani ya miaka mitano kwa lengo la kutimiza mradi fulani au kusimamia shughuli zenye kufikia shabaha fulani.

Ikitokea umeshindwa kufanikisha makubaliano na ikiwa ulipewa nyenzo zote za kiutendaji na bajeti ya kutosha kutimiza shughuli ya watu utapaswa kulipa fidia za watu kulingana na vifungu vya mkataba.

Hii imekaa powa sana habari ya kuingia ofisini kisign hasubuhi then unashinda JF unakula lunch mchana jioni unassign out unatoka bila kufanya kitu then mwisho wa mwezi income earned as usual.
Hii tabia itakomeshwa.
 
Wakiitwa wabinafsi halafu wewe usiende nitashangaa sana,
 
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
 
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
 
Kwani hatuwezi kuzalisha wataalamu hao wa kutosha tukiacha siasa zisizo na maana yoyote?
 
Kuwazawaza kuajiriwa ni kuupenda umasikini...!!
Kama ni umasikini hao walioajiriwa mbona hawataki kuachia ofisini?

Hapa tunazungumzia nafasi za ajira na utendaji pia.

Imagine tangu 1990s mtu yuko kwa ofis hadi now na hakuna kitu anafanya zaidi ya uvivu na wizi tu hili taifa litakuwa linaelekea wapi kila siku.

We need changes na tunaanza na kuwasakama hawa kwanza.
 
Sawa mkuu... 👍
 
Sawa mkuu... 👍
 
Exactly🤣
 
Exactly🤣
 
Exactly🤣
 
Exactly🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…