Lakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??Lazima walimu nao waanze kupiga paper za utumishi! Ndio zimeanza hivyo walimu mjiandae
ina maana hujui kuwa LGA ni local government ni sawa tu na halmashauriJe kwa in-service anayetaka transfer kuwa chini ya MDAs kupitia ajira hizi unamshauri nini, maana mimi nimeulizwa ushauri kuhusu hili nikasema siijui vizuri MDAs na LGAs nikaishia kusema ingelikuwa wizara ya elimu wametangaza ningelimwambia aombe over Tamisemi lakini hii nimeshindwa kutoa mchango wangu kuhusu aombe transfer kutoka Tamisemi kwenda MDAs na LGAs kupitia ajira hizi iwe kama green pasture ya kusongea mbele.
Jiandae na interview ww halfu tamisemi watoe muongozo vipi wakati mwajiri ni MDA LGALakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??
Sasa Ina maana Tamisemi wameamua kuajiri kupitia UtumishiMDA's & LGA's na Tamisemi ni sawa ila hapo kwenye MDA's unaweza kupangiwa kwenye taasisi mbalimbali za Elimu zilizopo chini ya Wizara either Tamisemi or Elimu
Ngoja tusubili tuone naamini mdaLakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??
Unapaswa kuwa na uhakika ukiwa unajibu swali kusema ni sawa tu maana yake hauna uhakika na pia umejikita upande mmoja tu je vipi kuhusu MDAs nao ni halmashauri maana kuna LGAs na MDAsina maana hujui kuwa LGA ni local government ni sawa tu na halmashauri
Wewe ni mjinga unaeelekea kwenye upumbavu maana unaelimishwa Bado umeshupaza shigoNgoja tusubili tuone naamini mda
Unapaswa kuwa na uhakika ukiwa unajibu swali kusema ni sawa tu maana yake hauna uhakika na pia umejikita upande mmoja tu je vipi kuhusu MDAs nao ni halmashauri maana kuna LGAs na MDAs
Usimjibu mjiga maana utakuwa mjinga wewe je mimi na wewe nani mjingaWewe ni mjinga unaeelekea kwenye upumbavu maana unaelimishwa Bado umeshupaza shigo
Mkuu ntumie link ya Tangazo tafadhali.Soma vizuri Hilo tangazoView attachment 2998230
Ndio sera ya elimu mpya inataka walimu wafanyiwe usaili kabla ya kuajiriwa kwahyo wamekabidhi mchakato PSRSSasa Ina maana Tamisemi wameamua kuajiri kupitia Utumishi
M--Ministry1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au wizara ya elimu Vs MDAs au LGAs.
Naomba majibu yenu wana jf kabla sijaomba hizi kazi.
NB chini ni PDF ya hizo kazi
View attachment 2997600
Asante kwa ufafanuzi mzuri, maana kuna watu humu hawajui hata kumjibu mtu nini kauliza wao nikuliza maswali na makasiliko yasiyo na tija kama mtu hajui atulie ili watu wanajua wenye ufahamu na kilichoulizwa wajibu. AsanteM--Ministry
D--Department
A-- Agencies
na LGAs means:
L--Local
G--Government
A--Authorities.
MDAs wako chini ya wizara na tasisi za serikali.
LGAs uko chini ya tamisemi, mkurugenzi wa halmshauri ndio boss wako. Diwani na mwanasiasa yeyote anakujambisha.
Rate ya salary mtafanana, lakini posho aliyeko MDAs anakuacha mbali uliye LGAs
Haya ndo majibu nilikuwa nahitaji kuyapata, asante kwa ufafanuzi ulionyooka na sijui ulichelewa wapi kunijibu mpaka najibiwa ovyo ovyo tu na small minded kazi kukasilika tu hata kama uelewa ni mdogo juu ya jambo lilliloulizwa siku nyingine wale wanaojibu tu ili mradi ni jibu tujue kuwa 'if you have not researched then you have no right to comment on the matter arising'M--Ministry
D--Department
A-- Agencies
na LGAs means:
L--Local
G--Government
A--Authorities.
MDAs wako chini ya wizara na tasisi za serikali.
LGAs uko chini ya tamisemi, mkurugenzi wa halmshauri ndio boss wako. Diwani na mwanasiasa yeyote anakujambisha.
Rate ya salary mtafanana, lakini posho aliyeko MDAs anakuacha mbali uliye LGAs
Kawaida hata mwalimu asiyejua kitu hujihami Kwa fimbo nyingi mda woteHaya ndo majibu nilikuwa nahitaji kuyapata, asante kwa ufafanuzi ulionyooka na sijui ulichelewa wapi kunijibu mpaka najibiwa ovyo ovyo tu na small minded kazi kukasilika tu hata kama uelewa ni mdogo juu ya jambo lilliloulizwa siku nyingine wale wanaojibu tu ili mradi ni jibu tujue kuwa 'if you have not researched then you have no right to comment on the matter arising'
🤣🤣🤣🤣 AiseeWewe ni mjinga unaeelekea kwenye upumbavu maana unaelimishwa Bado umeshupaza shigo
LGAs; Local Government AuthorityNaomba unitofautishie TAMISEMI na LGAs kwanza