Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

Lazima walimu nao waanze kupiga paper za utumishi! Ndio zimeanza hivyo walimu mjiandae
Lakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??
 
Je kwa in-service anayetaka transfer kuwa chini ya MDAs kupitia ajira hizi unamshauri nini, maana mimi nimeulizwa ushauri kuhusu hili nikasema siijui vizuri MDAs na LGAs nikaishia kusema ingelikuwa wizara ya elimu wametangaza ningelimwambia aombe over Tamisemi lakini hii nimeshindwa kutoa mchango wangu kuhusu aombe transfer kutoka Tamisemi kwenda MDAs na LGAs kupitia ajira hizi iwe kama green pasture ya kusongea mbele.
ina maana hujui kuwa LGA ni local government ni sawa tu na halmashauri
 
Lakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??
Jiandae na interview ww halfu tamisemi watoe muongozo vipi wakati mwajiri ni MDA LGA
 
MDA's & LGA's na Tamisemi ni sawa ila hapo kwenye MDA's unaweza kupangiwa kwenye taasisi mbalimbali za Elimu zilizopo chini ya Wizara either Tamisemi or Elimu
 
Sasa Ina maana Tamisemi wameamua kuajiri kupitia Utumishi
 
Lakini sasa,,, Tamisemi wangetolea ufafanuzi juu ya hili kuwa kwasasa namna ya uombji ajira za ualimu umebadilika .. waombaji wote watume maombi yao kupitia utumishi .. hii ya kufanya mambo kimya kimya kwa namna hii maana yake nini ??
Ngoja tusubili tuone naamini mda
ina maana hujui kuwa LGA ni local government ni sawa tu na halmashauri
Unapaswa kuwa na uhakika ukiwa unajibu swali kusema ni sawa tu maana yake hauna uhakika na pia umejikita upande mmoja tu je vipi kuhusu MDAs nao ni halmashauri maana kuna LGAs na MDAs
 
Ngoja tusubili tuone naamini mda

Unapaswa kuwa na uhakika ukiwa unajibu swali kusema ni sawa tu maana yake hauna uhakika na pia umejikita upande mmoja tu je vipi kuhusu MDAs nao ni halmashauri maana kuna LGAs na MDAs
Wewe ni mjinga unaeelekea kwenye upumbavu maana unaelimishwa Bado umeshupaza shigo
 
Soma vizuri Hilo tangazo
Screenshot_20240524-161638.jpg
 
Kimaslahi hakuna kitakachozidi walimu wenzako walioko kazini,mshahara wa kuanzia wenye cheti ni tgts B1,diploma ni tgts c1 na shahada ni tgts D1 ni sawa na muundo wa walimu walioko chini ya wizara ya elimu na walioko tamisemi.

Kumbuka unakwenda kufundishia shule zilizoko kwenye HALMASHAURI(tamisemi)
 
Walimu siku hizi ni watu wale wa hovyo kabisa wasioweza kufaraghua jambo lolote.
 
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au wizara ya elimu Vs MDAs au LGAs.
Naomba majibu yenu wana jf kabla sijaomba hizi kazi.
NB chini ni PDF ya hizo kazi
View attachment 2997600
M--Ministry
D--Department
A-- Agencies

na LGAs means:
L--Local
G--Government
A--Authorities.

MDAs wako chini ya wizara na tasisi za serikali.
LGAs uko chini ya tamisemi, mkurugenzi wa halmshauri ndio boss wako. Diwani na mwanasiasa yeyote anakujambisha.
Rate ya salary mtafanana, lakini posho aliyeko MDAs anakuacha mbali uliye LGAs
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri, maana kuna watu humu hawajui hata kumjibu mtu nini kauliza wao nikuliza maswali na makasiliko yasiyo na tija kama mtu hajui atulie ili watu wanajua wenye ufahamu na kilichoulizwa wajibu. Asante
 
M--Ministry
D--Department
A-- Agencies

na LGAs means:
L--Local
G--Government
A--Authorities.

MDAs wako chini ya wizara na tasisi za serikali.
LGAs uko chini ya tamisemi, mkurugenzi wa halmshauri ndio boss wako. Diwani na mwanasiasa yeyote anakujambisha.
Rate ya salary mtafanana, lakini posho aliyeko MDAs anakuacha mbali uliye LGAs
Haya ndo majibu nilikuwa nahitaji kuyapata, asante kwa ufafanuzi ulionyooka na sijui ulichelewa wapi kunijibu mpaka najibiwa ovyo ovyo tu na small minded kazi kukasilika tu hata kama uelewa ni mdogo juu ya jambo lilliloulizwa siku nyingine wale wanaojibu tu ili mradi ni jibu tujue kuwa 'if you have not researched then you have no right to comment on the matter arising'
 
Kawaida hata mwalimu asiyejua kitu hujihami Kwa fimbo nyingi mda wote
 
Back
Top Bottom