Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,344
- 2,997
Duu 😆😆😆mimi si mwalimu mpya ila nmebadishiwa kituo cha kazi, ila wanakijiji wanajua me n mpya
Duu 😆😆😆mimi si mwalimu mpya ila nmebadishiwa kituo cha kazi, ila wanakijiji wanajua me n mpya
Mkuu c wazr mkuu kashasema hilo na kungekuwa na uongo c tungesikia wakikanusha, means kitu kipo sure mkuuJamani kuna ukweli wowote kuhusu ajira kutolewa kimya kimya au uzushi tu?
Hiyo attachment kwangu imegoma kufungua, dah ni kweli waziri mkuu kasema live kabisa?Mkuu c wazr mkuu kashasema hilo na kungekuwa na uongo c tungesikia wakikanusha, means kitu kipo sure mkuu
Yeah me niliifungua juz kitu n uhakika🦧🦧, tumepotezwa mkuuHiyo attachment kwangu imegoma kufungua, dah ni kweli waziri mkuu kasema live kabisa?
Dah watu tunasubiria ajira 5,000 kumbe zimeshatangazwa kimya kimya [emoji26]Yeah me niliifungua juz kitu n uhakika🦧🦧, tumepotezwa mkuu
Alisema wameshazisambaza wk mbili zilizopita. Ila ukweli n kuwa serikal wametuzuga, hawajaajiri ila wametufanyia kamchezo ili tusiweke matumaini au tujue kwel serikal inaajiri. Ila hawa jamaa n waongo na lengo lao la kuajir lilitimia mwez wa 11 uleule, huoni walidanganya wameajir 13000 kumbe n elfu 8, means watu wasingegundua huo uongo maana yake tungejua ilishaajir wote 13000Dah watu tunasubiria ajira 5,000 kumbe zimeshatangazwa kimya kimya [emoji26]
Kwa kifupi tumepigwa[emoji23][emoji23] , Ila wanajichanganya sana coz tamisemi walisema ajira zikitoka wataziweka kwenye website yao.Alisema wameshazisambaza wk mbili zilizopita. Ila ukweli n kuwa serikal wametuzuga, hawajaajiri ila wametufanyia kamchezo ili tusiweke matumaini au tujue kwel serikal inaajiri. Ila hawa jamaa n waongo na lengo lao la kuajir lilitimia mwez wa 11 uleule, huoni walidanganya wameajir 13000 kumbe n elfu 8, means watu wasingegundua huo uongo maana yake tungejua ilishaajir wote 13000
Kusambaza waalimu, tujaribu kujiaminisha ni kweli. Swali, he kuna huduma za waalimu kuishi huko kama walivyozoea maeneo ya mjini? Isije ikatokea kama matabibu, unatupwa porini huko hakuna huduma yoyote, mpaka wanakimbilia hospitali binafsi maeneo yenye huduma za kibinadamu.Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.
Soma vizur ,walimu wa tempo enzi hizo wametufundisha walipomaliza form six ,wakienda chuo wanasoma fani tofauti tofauti ambazo na sie wanafunzi wao tunakujaga kusoma na kukutana nao kwenye usaili ,kumbuka kuna graduate toka wa 2014 wapo kitaaniWewe binadamu mwongo sana,tangu lini ajira za walimu zimekuwa za interview kwa government schools?
Yaani ni maajabu sana,hawajui kuwa wanajipeleka kwenye moto.Dah, kweli dunia inakwenda kasi. Kutoka watu kuukimbia ualimu leo watu wanaukimbilia !
Yaani ni maajabu sana,hawajui kuwa wanajipeleka kwenye moto.
majuto yangu mpaka naingia kaburini ni kusoma ualimu aise najuta sanaYaani ni maajabu sana,hawajui kuwa wanajipeleka kwenye moto.
Young man, Never give up! Still you can do some other things out of your teaching carrier.majuto yangu mpaka naingia kaburini ni kusoma ualimu aise najuta sana