Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Mkuu naskia eti ile zawadi wa tz tuliyopewa tarehe 17/3 et wewe haikuhusu, ni kweli???
Mkuu! Unaongea nini wewe? kikubwa mzee wa MIGA hajawa rais ili amsterdam afanye ikulu yetu geto lake.
 
Kutoka usingizini ni kumchagua amsterdam awe rais wetu kwa mgongo wa Loketo?
Hamsatadamu anakula maisha ughaibuni hko wakt huo huo bosi wako mtesi wa wanyonge akiwa amehamia kwenye mbao.
 
Umenena vyema sana mkuu, hyu ndio wa kutawala mpk achoke, sio yule wa tuko pazuriiiiiiiii, tembeeni vifua mbereeeee huku watu ata mia mfukoni hawana.
 
Ile kesi ya ICC watafungua sasa maana fedha wamepata.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Haya ndio mawazo ya masikini!!yaani ni chuki tu kwa mwenye nacho, na ndio yalikuwa mawazo ya meko.aibu sana!!
 
Wasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.

Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.
Dunia ni hadaa ulimwengu shujaa. Shujaa wa afrika kafa mambo yake yote aliyojulidai yanageuzwa. Mfikishie ujumbe huko kuzimu.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Utakuda maskini hivyo hivyo.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Pesa inatoka nje, si kodi ya watanzania; wakinunua Prado kodi inaingia, wakijenga wananunua cement, mabati, matofali, nondo nk viwanda vyetu vinafanya kazi kodi inakusanywa na ajira inaongezeka; wakiingiza fedha kwenye account zao kwenye benki za Tanzania, tunzikopa na kuingiza riba ambayo inakatwa kodi. NGO hizi zinaajiri watanzania nao wanalipa PAYE.
Mimi nadhani wangehimizwa kutafuta fedha nyingi iwezekanavyo kutoka nje as long as hazina athari kwa usalama wa nchi.
 
Good! Kumbe Tangazo ni la leo hii. So Vicky Ntetema yupo kwa ofisi now! Ubarikiwe sana Mrembo Vick Ntetema! Sauti yako hunikosha sana!
Huyu Mama aliishastaafu siku nyingi BBC. Kastaafu Under the Same Sun. Ila bado analeta chokochoko na Serikali. Anaweza akawa anatumiwa na mabeberu huyu. Serikali iwe makini naye!!!!
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Wewe ni pepo mchafu! Shindwa pepo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…