Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Hawezi tena kurudishiwa akaunti zake, rekodi waliyopewa hao META kuhusiana na ushenzi wa yule dada ni mbaya sana, hakuambiwa yule mama kuhusiana na siasa peke yake alipewa pia na taarifa za huyu dada kutengenezea pesa kwa kurusha hewani picha za ngono za watu wengine bila ridhaa ya wahusika. Hilo ni kosa kisheria kule USA.Zilipofungiwa walishangilia sana, serikali ilitumia zaidi ya $200,000 ili zifungiwe.
Kule California muda wowote itaanza kesi dhidi ya Mange, kwa mujibu wa penal code ya jimbo lile huyo dada anaweza kutiwa hatiani kwa mujibu wa vifungu kadhaa ni suala la muda tu. Mwezi wa pili inaweza kuanza kesi.
