Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,467
- 3,496
Wafuasi wa Mange Kimavi huku Jf mpo kama mazezeta yani,.
Huyo Steven Joel Ntamusano ni either lugha aliyoandika Mange haipandi au ni kujitoa akili tu.Unajua wewe umekariri mambo.
Account iliyofunguliwa ndiyo imetoa taarifa husika.
Kama uongo haijafunguliwa aliwezaje kutuma huo ujumbe?
Jambo la kufanya Ni kwenda kwa hiyo WhatsApp account na kuangalia Kama ipo hewani na imetuma ujumbe wowote.
Kwisha, finito!
Swali kwako: Ulienda kuhakiki hiyo taarifa kwenye akaunti husika?
Kuhusu nani aliomba akaunti ifungiwe hiyo siyo kigezo kuwa haiwezi kufunguliwa. Hata angeomba POTUS wa USA inawezekana kuja kufunguliwa tena ikionekana ilifungiwa kimakosa au kwa taarifa zisizo sahihi au muhusika amepata msamaha n.k.
Nyumbu bibi ako pum/bu za bibi ako wewe.Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
Uchawa lazima kujitoa akili.Huyo Steven Joel Ntamusano ni either lugha aliyoandika Mange haipandi au ni kujitoa akili tu.
Jirani anayepiga kelele kutoa taarifa zako unamnyanyasa, mwanao kuwa umemvunja mkono, hasomi, unamlawiti utamwita mnoko, mropokaji, ila tatizo ni wewe juha mwenyewe, acha ukatili kwa mwanao, na jirani atakaa kimya.Wafuasi wa Mange Kimavi huku Jf mpo kama mazezeta yani,.
Lugha sio tatizo, hao META walimwambia aliyetumwa na serikali kwamba hatakuja kufunguliwa akaunti huyo dada.Huyo Steven Joel Ntamusano ni either lugha aliyoandika Mange haipandi au ni kujitoa akili tu.
Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii. Alijua ya dunia ndio hayo uliyoyataja.Bahati nzuri nimewa ignore vichaa na wauaji wote kama hao akina lucha mwashambwa and the likes.
Ili nisipate dhambi ya kukasirika na kusema yasiyofaa nikawa ignore
Iwe Mange amefungiwa au amefunguliwa, je wanayotendewa Watanganyika na kusemewa na yeyote kuhusu haki, rasilimali zao na utekaji unakubaliana nayo au unachukizwa nayo...
Je, Kwanini msipambane kuacha ushetani wa kuteka, kuuwa, kufunga, kutunga uongo, na kunajisi watu kinyume cha maumbile ili kumnyima Mange, na yeyote chochote cha kusema, na badala yake mnawafungia waliosema na wanaosema mnayoyafanya ?
3: Mkiacha ushetani huo hata leo, mtakuwa mmeziba midomo yote milele
Kwahiyo unadhani Wamarekani ni wajinga hawajui unyama uliofanywa na mama yenu hadi wategemee akaunti ya Mange.Lugha sio tatizo, hao META walimwambia aliyetumwa na serikali kwamba hatakuja kufunguliwa akaunti huyo dada.
Tatizo huyo dada anadhani ana akili kuliko kila mtu na hiyo ni sifa ya mtu mwenye matatizo ya akili. Wamarekani wanafahamu unyama wote alioufanya kupitia hiyo akaunti ya whatsapp.
Vurugu za October 29 zimechangiwa nautawala mbovu wa CCMna tume mbovu ya uchaguzi.Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii. Alijua ya dunia ndio hayo uliyoyataja.
Huko USA kuna utekaji na ubakaji unaofanywa na wale askari maalum wa kukamata raia wa kigeni wasio na makaratasi ya kuwepo kule (ICE).
Mange kasababisha vurugu za 29 October akiwasiliana na wale jamaa wa Kenya, fikiria idadi ya vifo vya siku ile vikiwa vimechangiwa na jitihada ya mtanzania anayeumiza nchi yake mwenyewe akiwa huko ugenini.
Miaka yote yamekuwepo hao hao mbona hakujawahi kutokea vurugu?.Vurugu za October 29 zimechangiwa nautawala mbovu wa CCMna tume mbovu ya uchaguzi.
Wanaelewa chanzo cha vurugu zile ndio maana hawawezi kuingilia.Kwahiyo unadhani Wamarekani ni wajinga hawajui unyama uliofanywa na mama yenu hadi wategemee akaunti ya Mange.
Wajinga polisi walipoona Mange anawasiliana na wakenya wakaanza kuua maelfu ya watanzania, basi tuna jeshi la kipumbavu sana.Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii. Alijua ya dunia ndio hayo uliyoyataja.
Huko USA kuna utekaji na ubakaji unaofanywa na wale askari maalum wa kukamata raia wa kigeni wasio na makaratasi ya kuwepo kule (ICE).
Mange kasababisha vurugu za 29 October akiwasiliana na wale jamaa wa Kenya, fikiria idadi ya vifo vya siku ile vikiwa vimechangiwa na jitihada ya mtanzania anayeumiza nchi yake mwenyewe akiwa huko ugenini.
Mauaji yalianza baada ya wale wajinga kuendelea kuvunja maduka ya watu na kuanza kuiba kila kitu wengine wakichoma vituo vya mafuta vilivyojengwa kwa pesa nyingi.Wajinga polisi walipoona Mange anawasiliana na wakenya wakaanza kuua maelfu ya watanzania, basi tuna jeshi la kipumbavu sana.
Sawa nguruwe
Umesafisha kweli hapo katikati kwenye huo mfereji wa makalio Yako vizuri maana nasikia harufu Kali huku aiseeMauaji yalianza baada ya wale wajinga kuendelea kuvunja maduka ya watu na kuanza kuiba kila kitu wengine wakichoma vituo vya mafuta vilivyojengwa kwa pesa nyingi.
Walileta uhuni wakati wengi ni watoto waliozaliwa miaka ya 2000 - 2003 bado wachanga sana kwenye hizo vurugu.
Nope hawakurudishii kama onyo, huwa wana delete kabisaNi kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
Nimemwambia kama ingekuwa onyo wasingerudisha na content zake.Nope hawakurudishii kama onyo, huwa wana delete kabisa
So hii ni pressure kutoka kwa viongoz wa marekani si kwamba wamependa
Udini unawasumbuaWabunge wa marekani wanampambania na akirudishwa hakuna allegations zozote kutoka serikali ya Tanzania zitasikilizwaga
Tafuta tusi jipya yote hayo yamekuwepo kabla hata mama yako hajaenda leba akachanua miguu halafu akatoa uchafu tumboni mwake ambao ndio wewe.Umesafisha kweli hapo katikati kwenye huo mfereji wa makalio Yako vizuri maana nasikia harufu Kali huku aisee