Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Unafikiri kila mtu kazaliwa kijijini? Mi nimezaliwa Amana nimekulia Ilala sijui unazungumza kijiji kipi? Hata kuzikana tunazikana hapa hapa Jijini.
Basi hongera ndio maana unawaza na kufikiri kimjinimjini.Unafikiri kila mtu kazaliwa kijijini? Mi nimezaliwa Amana nimekulia Ilala sijui unazungumza kijiji kipi? Hata kuzikana tunazikana hapa hapa Jijini.