Akaunti za Mange Kimambi zilizokuwa zina rekodi matukio ya MO29 zimerudishwa

Huyo kichaa hajarudishiwa hizo akaunti hii habari ya uzushi na uongo.

Yule mama wa META baada ya kupewa historia nzima ya ushenzi anaoufanya Mange kwa taifa la Tanzania alitoa machozi kwenye ule ukumbi wa mkutano. Akasema hatakuja kumrudishia akaunti zake, kwa sheria zao ukishaomba mara mbili kurudishiwa akaunti huwa hurudishiwi tena.

Tengenezeni uongo kwa nia ya kujifurahisha sawa na zile FAKE NEWS za SSH kupelekwa ICC. Mtawapata wajinga wengi tu.
Wewe pandikizi la Kagame lazima tukurudishe kwenu
 
Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii. Alijua ya dunia ndio hayo uliyoyataja.

Huko USA kuna utekaji na ubakaji unaofanywa na wale askari maalum wa kukamata raia wa kigeni wasio na makaratasi ya kuwepo kule (ICE).

Mange kasababisha vurugu za 29 October akiwasiliana na wale jamaa wa Kenya, fikiria idadi ya vifo vya siku ile vikiwa vimechangiwa na jitihada ya mtanzania anayeumiza nchi yake mwenyewe akiwa huko ugenini.
Yaani wewe kweli huna akili kichwani mwako!

KWAMBA;

√ Mange Kimambi ndiye aliyesababisha mauaji ya MO29? Really?

√ Mange Kimambi ndiye aliyewapa polisi na majambazi mengine amri ya SHOOT & KILL?

√ Mange Kimambi ndiye aliyefungua maghala ya silaha na kuwapa wauaji waue waandamanaji na wengine wakiwa kwenye makazi?

√ Mange Kimambi ndiye aliyezima internet ili wauaji wafanye kazi yao ya kuua vizuri bila kubughudhiwa?

√ Mange Kimambi ndiye aliyeamuru malori yakusanye maiti na kwenda kuzizika kwenye makaburi ya halaiki Kondo na zingine kuzichoma moto?

√ Mange Kimambi ndiye aliyetunga kanuni mbovu za uchaguzi na kuenguea wagombea u - Rais wa vyama vingine siyo i.e Luhaga Mpina wa ACT WAZALENDO?

√ Mange Kimambi ndiye aliyemfungulia kesi ya uongo ya uhaini Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu lengo likiwa asipate kushiriki kikamilifiu kwenye harakati zake za kisiasa kumpinga Samia na CCM yake?

√ Mange Kimambi ndiye aliyevuruga uchaguzi, akazuia watu kupiga kura na kuamuru Tume ya Uchaguzi itagaze matokeo ya uongo ya kura za Urais, wabunge na madiwani?

√ KWAMBA, kwa akili zako hizi, unafikiri kuwa Mange Kimambi ndiye anayepambana na UKRISTO, kufunga makanisa ya GCTC - UFUFUO NA UZIMA yanayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima na kwa upekee kabisa kulishambulia kanisa Katoliki kupitia TEC, kuvizia na kutaka kuua viingozi wake kama Father Charles Kitima na mapadri wengine?

√ KWAMBA, Mange Kimambi ndiye anayeendesha operesheni za kuteka watu wanaoipinga serikali, kuwatesa, kuwalawiti, kuwapoteza na kuwaua? Ndicho unachotaka kutuambia hapa..?????

##Kama hizi ndizo fikra zako wewe Steven Joel Ntamusano, basi nakutangaza leo kuwa kumbe huna akili sawasawa!!

##Kama Mange Kimambi alifanya ushawishi kwa watu na wakamuelewa maana yake huyo ni mtu ambaye ni very resourceful kwa nchi na taifa. CCM na serikali yake na Rais wao Samia na chawa wote walikuwa hawaeleweki ndio maana hawakusikilizwa wala kushawishi wananchi kufuata walichosema!!
 
Sio Mange peke yake wapo wasaliti kadhaa huko nje sehemu ya diaspora. Mange kakatiza petrol station na sigara mkononi!. Kayakuza majanga yaliyokuwepo tayari.

Akipewa umbea na wasaliti wa humu nchini anausambaza huko mtandaoni, Mange ni wakala mzuri wa shughuli inayoitwa kwa kingereza disinformation.

Unasambazwa uzushi kwa nguvu kubwa mpaka unaonekana kuwa ndio ukweli wenyewe.
 
Lugha sio tatizo, hao META walimwambia aliyetumwa na serikali kwamba hatakuja kufunguliwa akaunti huyo dada.

Tatizo huyo dada anadhani ana akili kuliko kila mtu na hiyo ni sifa ya mtu mwenye matatizo ya akili. Wamarekani wanafahamu unyama wote alioufanya kupitia hiyo akaunti ya whatsapp.
Hivi wewe kvuma kuna unyama unaoshinda unyama alioufanya samuya kuuwa binadamu kama anaua mende? Hivi unadhani wazungu ni wapumbavu kama wewe ***** eeh? META walifungia hizo accounts si kwamba Mange alivunja sheria bali kwa maslahi yao binafsi. Si ajabu ccm walitumia mabilioni ya walipakodi wa kitanzania kuwahonga META ili kufunga hizo accounts. Kwa ushetani wa ccm kila kitu kinawezekana. Kama waliweza kuwahonga Mexicans waandamane kumuunga mkono samuya huko Marekani, samuya hashindwa kuwalipa META mabilioni ya hela kufunga accounts za Mange. Kwa taarifa yako accounts zote za Mange zitarudi na hazitafungiwa tena kwa sababu congressmen wanajua what is behind of this saga
 
Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
SAWA SOKWE MKE WA MARK, MWAMBIE MUMEO AFUNGE AKAUNTI YANGU NILIMTUKANA
 
Hivi wewe kvuma kuna unyama unaoshinda unyama alioufanya samuya kuuwa binadamu kama anaua mende? Hivi unadhani wazungu ni wapumbavu kama wewe ***** eeh? META walifungia hizo accounts si kwamba Mange alivunja sheria bali kwa maslahi yao binafsi. Si ajabu ccm walitumia mabilioni ya walipakodi wa kitanzania kuwahonga META ili kufunga hizo accounts. Kwa ushetani wa ccm kila kitu kinawezekana. Kama waliweza kuwahonga Mexicans waandamane kumuunga mkono samuya huko Marekani, samuya hashindwa kuwalipa META mabilioni ya hela kufunga accounts za Mange. Kwa taarifa yako accounts zote za Mange zitarudi na hazitafungiwa tena kwa sababu congressmen wanajua what is behind of this saga
Punguza mapovu mkuu Mdaiwa. SSH alifanya unyama baada ya wahuni kutaka kumfanyia kwanza yeye huo unyama.

Kuna polisi waliuliwa pale Magomeni, huo sio unyama, kuna watu walikatwa vidole kule Mara na mikoa mingine huo sio unyama!.

Sio kweli kwamba serikali ilihonga ili META wamfungie huyo dada, kiongozi wa META alipewa darasa pana la ujinga wote anaoufanya Mange kupitia akaunti zake, mama wa kizungu akaanza kutoa machozi wakati presentation ikiwa inaendelea kwenye power point.

Mange ni mshenzi tu lakini watu wenye akili timamu wamemkumbusha kwamba huko USA minneapolis viongozi wa jimbo lile wamewafukuza rasmi ICE baada ya hicho kikosi kuendesha ubakaji, utekaji na uuaji wa yule dada Renee Good.

Mange kakumbushwa kwamba hapo hapo California unafanyika unyama ambao yeye anaupigia kelele huku Tanzania, haki za binadamu zinavunjwa huko huko alipo Mange.

Hana uhalali wa kunyooshea kidole kinachofanywa na SSH wakati Trump anafanya hayo hayo akiwa hapo hapo USA alipo Mange.
 
Hivi wewe una akili timamu kweli au mahaba ya uchawa yanakufanya UONGEE UJINGA? Kwa kuwa Trump anafanya “unyama” California ni sahihi pia kwa Samuya kufanya unyama kwa watanzania. Kwa hiyo hii ndio hoja yako? Sasa subiri nikupe darasa kidogo japo najua kwa akili matope yako hutaelewa ila acha nikupe tu because it doesn’t cost me a dime. Kwanza hakuna unyama wowote alioufanya Trump kwa raia wake. Trump hajatoa order ya “shoot to kill” kwa huyo mwanamke aliyeuawa au yule aliyejeruhiwa mguuni jana. Trump kama kiongozi wa nchi na aliyeidhinisha deployment ya ICE huko Minneapolis na kwingineko Marekani alimtetea yule askari si kwamba alitoa amri ya shoot to kill bali kwa sababu yeye ni kiongozi wa nchi na anawajibika moja kwa moja kwa madhara yanayotokea kwa kwenye hiyo operation ya ICE. Kwa hiyo tofautisha amri ya Samuya ya shoot to kill na kinachotokea Marekani. Rais wa Marekani hawezi kutoa amri ya kiwendawazimu ya shoot to kill kama aliyoitoa bi chura.

Cha pili, kwa mtu mwenye akili ya kupambanua mambo hawezi kushangaa bi chura kuwalipa mabilioni ya hela META kuzifungia accounts za Mange. Kuna mambo ya ajabu, ya aibu na kushangaza sana bi chura ameyafanya, hilo jambo la kuwalipa META wala sio issue kwakwe. Kama bi chura aliweza kumpoteza yule mtoto mdogo wa Mbeya aliyechana picha yake, aliweza kuwalipa Mexicans waandamane, ameweza kuwahonga viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama majumba ya kifahari na magari ya kifahari, ameweza kumpoteza yeyote anayemkosoa, ameua maelfu ya watanzania on 29 October 2025, hawezi kushindwa kuwalipa META ili wafunge accounts za Mange.
 
Haya awaingize barabarani tena awaambie Jeshi litawalinda 😂😂😂😂 Mange Kimambi ni Mungu Wa CHADEMA
Je wakwako ni ule mwamba mkubwa wenye mapango ama ule mti mkubwa hapo kijijini kwenu?
 
Hivi wewe una akili timamu kweli au mahaba ya uchawa yanakufanya UONGEE UJINGA? Kwa kuwa Trump anafanya “unyama” California ni sahihi pia kwa Samuya kufanya unyama kwa watanzania. Kwa hiyo hii ndio hoja yako? Sasa subiri nikupe darasa kidogo japo najua kwa akili matope yako hutaelewa ila acha nikupe tu because it doesn’t cost me a dime. Kwanza hakuna unyama wowote alioufanya Trump kwa raia wake. Trump hajatoa order ya “shoot to kill” kwa huyo mwanamke aliyeuawa au yule aliyejeruhiwa mguuni jana. Trump kama kiongozi wa nchi na aliyeidhinisha deployment ya ICE huko Minneapolis na kwingineko Marekani alimtetea yule askari si kwamba alitoa amri ya shoot to kill bali kwa sababu yeye ni kiongozi wa nchi na anawajibika moja kwa moja kwa madhara yanayotokea kwa kwenye hiyo operation ya ICE. Kwa hiyo tofautisha amri ya Samuya ya shoot to kill na kinachotokea Marekani. Rais wa Marekani hawezi kutoa amri ya kiwendawazimu ya shoot to kill kama aliyoitoa bi chura.

Cha pili, kwa mtu mwenye akili ya kupambanua mambo hawezi kushangaa bi chura kuwalipa mabilioni ya hela META kuzifungia accounts za Mange. Kuna mambo ya ajabu, ya aibu na kushangaza sana bi chura ameyafanya, hilo jambo la kuwalipa META wala sio issue kwakwe.
Viongozi wa META walikuwa hawamjui huyo dada kwamba ni mshenzi kiasi gani.

Isingetolewa ile amri leo hii Tanzania ingekuwa ikiongelewa kwa namna ile ile ya historia kwamba lilikuwepo Taifa linaloitwa Tanzania.

Ilihitajika heshima mbele ya dola kulindwa, sio kuishi kama kambale kwenye maji kwamba kila mmoja ana ndevu na hamsikilizi mwenzake.

Huyo Mange atulize mzuka, hakuna anayemsikiliza muda huu, watu walijionea wenyewe hasara za machafuko kwa kupoteza ndugu zao wa damu, hayupo mwenye majukumu na akili timamu ambaye ataacha shughuli zake akaandamane huko barabarani, anajua akikamatwa mateso atakayoyapata yatamharibia maisha yake yote ya baadae.

Huyo Mange aje na akili nyingine sio hizi za kujenga taharuki kwenye kurasa zake ili baadae vijana wanaotiwa hasira waingie barabarani. Hawezi kumpata mtu hata mmoja.
 
Huna akili
 
Ni pigo kubwa kwa watawala haramu na machawa wao.
 
Je wakwako ni ule mwamba mkubwa wenye mapango ama ule mti mkubwa hapo kijijini kwenu?
Unafikiri kila mtu kazaliwa kijijini? Mi nimezaliwa Amana nimekulia Ilala sijui unazungumza kijiji kipi? Hata kuzikana tunazikana hapa hapa Jijini.
 
Back
Top Bottom