Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Hawezi tena kurudishiwa akaunti zake, rekodi waliyopewa hao META kuhusiana na ushenzi wa yule dada ni mbaya sana, hakuambiwa yule mama kuhusiana na siasa peke yake alipewa pia na taarifa za huyu dada kutengenezea pesa kwa kurusha hewani picha za ngono za watu wengine bila ridhaa ya wahusika. Hilo ni kosa kisheria kule USA.Zilipofungiwa walishangilia sana, serikali ilitumia zaidi ya $200,000 ili zifungiwe.
Unaota?Hawezi tena kurudishiwa akaunti zake, rekodi waliyopewa hao META kuhusiana na ushenzi wa yule dada ni mbaya sana, hakuambiwa yule mama kuhusiana na siasa peke yake alipewa pia na taarifa za huyu dada kutengenezea pesa kwa kurusha hewani picha za ngono za watu wengine bila ridhaa ya wahusika. Hilo ni kosa kisheria kule USA.
Kule California muda wowote itaanza kesi dhidi ya Mange, kwa mujibu wa penal code ya jimbo lile huyo dada anaweza kutiwa hatiani kwa mujibu wa vifungu kadhaa ni suala la muda tu. Mwezi wa pili inaweza kuanza kesi.
Ngoja tuangalie kaka mchawiHeshima yako kaka mchawi Dogoli kinyamkela mambo yako tunayajua sisi tunaishi uhalisia wako .
Umetisha mwamba ,embu fanya na lile la ukonga ili walau valentine tuwe na jamaa yetu
Wewe ndio unaota, kwa kutengeneza habari za kizushi humu jukwaani.Unaota?
Hivi hakuna namna tunaweza kuwashtaki meta?Zilipofungiwa walishangilia sana, serikali ilitumia zaidi ya $200,000 ili zifungiwe.
Nafikiri tatizo lako ni lugha inakupiga chenga, nenda kwenye page yake ya wasap.Wewe ndio unaota, kwa kutengeneza habari za kizushi humu jukwaani.
Uharo unawatoka sasa,msisahau kulipa habari lile shetani lililojificha ndani ya ushungiHaya awaingize barabarani tena awaambie Jeshi litawalinda 😂😂😂😂 Mange Kimambi ni Mungu Wa CHADEMA
Umesema page ya kwake!, lazima awadanganye nyinyi chawa wake kwamba karudishwa hewani.Nafikiri tatizo lako ni lugha inakupiga chenga, nenda kwenye page yake ya wasap.
Mange: OMG! OMG! meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057.
Kwa hiyo anatembea juu ya kamba nyembamba?. Muda wowote anafungiwa mazima.Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
Umbwa Kala umbwa 😂😂😂OMG! OMG! Meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057.
For those who don’t understand the important of regaining access to this number is that, this is the number that Tanzanians were using to secretly share photos and videos of the election massacre that saw over 10,000 Tanzanias get killed. You can scroll down this page to see the photos and videos of the killings.
I would like to thank every single person who is working behind the scenes to ensure Meta does the right by Tanzanians by reinstating my accounts.
I would also like to thank Members of Congress who are taking the time to help us regain access to these pages.
Ulisema, Hawezi tena kurudishiwa akaunti zake, sasa unaongea nini, slow learner.Kwa hiyo anatembea juu ya kamba nyembamba?. Muda wowote anafungiwa mazima.
Huyo dada shetani sana.
Sitaki kuamini serikali nzima inapambana na mwanamke mmoja Mange, still pamoja na kuwahonga Meta wameangukia pua akaunti imerudi.Sitaki kuamini kama tegemeo kubwa la chadema limekuwa kwa mange kimambi,, recho dangwa, baba yenu mwandambo japo kwa sasa mlishaanza kumkataa kama mlivyomkataa mbowe..
Safi sanaOMG! OMG! Meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057.
For those who don’t understand the important of regaining access to this number is that, this is the number that Tanzanians were using to secretly share photos and videos of the election massacre that saw over 10,000 Tanzanias get killed. You can scroll down this page to see the photos and videos of the killings.
I would like to thank every single person who is working behind the scenes to ensure Meta does the right by Tanzanians by reinstating my accounts.
I would also like to thank Members of Congress who are taking the time to help us regain access to these pages.
Kwa taarifa tu Meta wamerudisha na contents zake zote hawajafuta hata moja inamaana either waliifuta kimakosa au kuna wafanyakazi wali hongwa na serikali ya Samia kuficha mauaji bila kampuni ya Meta kujua.Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima,
Unajua wewe umekariri mambo.Umesema page ya kwake!, lazima awadanganye nyinyi chawa wake kwamba karudishwa hewani.
Unajua cheo cha mhusika aliyewasilisha mada hapo ukumbini katika huo mkutano wa serikali ya Tanzania na META kuhusiana na suala la akaunti za Mange?.
Umeamini sasa kwavile mwenzio kakubali,si uendendelee kukaza shingo tu. Ni ngumu kwenu kuona watu woote Wana haki sawa ,nifuraha kuona mateso ya wenzenu.Kwa hiyo anatembea juu ya kamba nyembamba?. Muda wowote anafungiwa mazima.
Huyo dada shetani sana.
Bahati nzuri nimewa ignore vichaa na wauaji wote kama hao akina lucha mwashambwa and the likes.Kwani walioingia Road walikua chadema peke yao?
Acheni kuhamisha magoli, walioandamana ni watanzania bila kujali chama wala dini.
Shetani akulambe uso
Iwe Mange amefungiwa au amefunguliwa, je wanayotendewa Watanganyika na kusemewa na yeyote kuhusu haki, rasilimali zao na utekaji unakubaliana nayo au unachukizwa nayo...Wewe ndio unaota, kwa kutengeneza habari za kizushi humu jukwaani.