Akaunti za Mange Kimambi zilizokuwa zina rekodi matukio ya MO29 zimerudishwa

Huyo Steven Joel Ntamusano ni either lugha aliyoandika Mange haipandi au ni kujitoa akili tu.
 
Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
Nyumbu bibi ako pum/bu za bibi ako wewe.
 
Huyo Steven Joel Ntamusano ni either lugha aliyoandika Mange haipandi au ni kujitoa akili tu.
Lugha sio tatizo, hao META walimwambia aliyetumwa na serikali kwamba hatakuja kufunguliwa akaunti huyo dada.

Tatizo huyo dada anadhani ana akili kuliko kila mtu na hiyo ni sifa ya mtu mwenye matatizo ya akili. Wamarekani wanafahamu unyama wote alioufanya kupitia hiyo akaunti ya whatsapp.
 
Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii. Alijua ya dunia ndio hayo uliyoyataja.

Huko USA kuna utekaji na ubakaji unaofanywa na wale askari maalum wa kukamata raia wa kigeni wasio na makaratasi ya kuwepo kule (ICE).

Mange kasababisha vurugu za 29 October akiwasiliana na wale jamaa wa Kenya, fikiria idadi ya vifo vya siku ile vikiwa vimechangiwa na jitihada ya mtanzania anayeumiza nchi yake mwenyewe akiwa huko ugenini.
 
Kwahiyo unadhani Wamarekani ni wajinga hawajui unyama uliofanywa na mama yenu hadi wategemee akaunti ya Mange.
 
Vurugu za October 29 zimechangiwa nautawala mbovu wa CCMna tume mbovu ya uchaguzi.
 
Wajinga polisi walipoona Mange anawasiliana na wakenya wakaanza kuua maelfu ya watanzania, basi tuna jeshi la kipumbavu sana.
 
Wajinga polisi walipoona Mange anawasiliana na wakenya wakaanza kuua maelfu ya watanzania, basi tuna jeshi la kipumbavu sana.
Mauaji yalianza baada ya wale wajinga kuendelea kuvunja maduka ya watu na kuanza kuiba kila kitu wengine wakichoma vituo vya mafuta vilivyojengwa kwa pesa nyingi.

Walileta uhuni wakati wengi ni watoto waliozaliwa miaka ya 2000 - 2003 bado wachanga sana kwenye hizo vurugu.
 
Umesafisha kweli hapo katikati kwenye huo mfereji wa makalio Yako vizuri maana nasikia harufu Kali huku aisee
 
Ni kawaida ukienda against meta policy wanafunga account na kukurudishia kama onyo na ukiendelea inakua suspended mazima, kwahiyo nyumbu moto uko palepale lazima mshughulikiwe hakuna huruma kwa nyumbu.
Nope hawakurudishii kama onyo, huwa wana delete kabisa
So hii ni pressure kutoka kwa viongoz wa marekani si kwamba wamependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…