Unafikiri kila mtu kazaliwa kijijini? Mi nimezaliwa Amana nimekulia Ilala sijui unazungumza kijiji kipi? Hata kuzikana tunazikana hapa hapa Jijini.
Basi hongera ndio maana unawaza na kufikiri kimjinimjini.Unafikiri kila mtu kazaliwa kijijini? Mi nimezaliwa Amana nimekulia Ilala sijui unazungumza kijiji kipi? Hata kuzikana tunazikana hapa hapa Jijini.
Akili matope sana hii, wabunge waache kazi zao huko waje watetee mitandao ya huyo kinyamkera?Wabunge wa marekani wanampambania na akirudishwa hakuna allegations zozote kutoka serikali ya Tanzania zitasikilizwaga
Kazi ya Mo29 haijaisha hadi iishe, serikali ilitumia zaidi ya $200,000 kuhonga ili akaunti zifungwe akili matope.
Huyo kichaa hajarudishiwa hizo akaunti hii habari ya uzushi na uongo.
Yule mama wa META baada ya kupewa historia nzima ya ushenzi anaoufanya Mange kwa taifa la Tanzania alitoa machozi kwenye ule ukumbi wa mkutano. Akasema hatakuja kumrudishia akaunti zake, kwa sheria zao ukishaomba mara mbili kurudishiwa akaunti huwa hurudishiwi tena.
Tengenezeni uongo kwa nia ya kujifurahisha sawa na zile FAKE NEWS za SSH kupelekwa ICC. Mtawapata wajinga wengi tu.
Samia anakupokea namna unavyokuja.Yani hao mafala hata wafanye nini hatuwezi wapa tena nafasi ya kuharibu nchi hii
Viongozi gani wewe mburulaz?Nope hawakurudishii kama onyo, huwa wana delete kabisa
So hii ni pressure kutoka kwa viongoz wa marekani si kwamba wamependa
Matusi na taarabu nyingi lakin hamna facts hata moja umeandikaViongozi gani wewe mburulaz?
hao unataja wana matatizo lukuki na watu wao nyie Nyumbuz mmekaa na matako yenu eti wamarekani,wamarekani Pumbavu sana.
Trump mwenyewe hataki hata kuwaona immigrant huko pamoja na huyo kichaa wenu nyie mmenga'ng'ana wamarekani, wamarekani watatusaidia shenzy kabisa.
Yani serikali ya kibongo inapambane na mange.. we unamsikia siku hizi huyo mange mwenyewe.. labda arudi kwenye mtikasi wake wa kuuza video za ngonoSitaki kuamini serikali nzima inapambana na mwanamke mmoja Mange, still pamoja na kuwahonga Meta wameangukia pua akaunti imerudi.