Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

The funny thing is, UON is younger than Makerere and university of dar es salaam. In fact at independence only Tanzania and Uganda had universities. At that time UON was called Royal College and it did not offer any undergraduate programmes. Funny how in 4 decades UON has overtaken the two and even makes University of dares salaam look like a village polytechnic.

During those days Kenyans had to go to Makerere to study sciences and medicine, University of dar es salaam for law and arts, but now UON commands more respect world wide in a those fields than University of dar es salaam. Makerere still holds weight even in Kenya though not as much as UON, but Tanzanian certificates are now like tissue paper, no employer will trust you have the knowledge and society does not take you seriously.
 
So what?
 
Wacha ww, accreditation huwa zinabadilika badilika kila mara co kitu cha ku bragg about here.
 
Nilikua nimebashiri huu uzi utafika kurasa kumi ndani ya siku moja kwa Watanzania kutiririka povu na chuki, ila mpaka sasa ni kurasa nne tu, tieni bidii bandugu acheni uzembe, endeleeni kuandika.
 
Nilikua nimebashiri huu uzi utafika kurasa kumi ndani ya siku moja kwa Watanzania kutiririka povu na chuki, ila mpaka sasa ni kurasa nne tu, tieni bidii bandugu acheni uzembe, endeleeni kuandika.
We jamaa ni komedi sn [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi Mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
 
Mimi mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
Usife moyo mkuu. Wataharifu na wenzako pia ambao hawana ufahamu
 
MK254,

Sijui kama unajua maana ya sant slave education system. Wasomi wenu awawezi saidia Kenya bali watatumika kusaidia mabeberu dhidi ya wakenya na waafrica kwa ujumla bora sisi na sant kayumba education system yetu.
 
Hatujisifii. Tunasifiwa na ulimwengu. Sio sisi tumeandika hio ripoti. Nenda kalilie chooni basi kama hupendi.
Wanini mabeberu wasiwasifie kwa kupenda mfumo wa elimu wa sant slave ? Yani nyinyi ni watumwa wa hiari wa mabeberu
 
The best 007,

Now listen to your self you have no idea what you are talking about .What does accreditation have to do with age of an institution! Your university is older than UON but it has less prestige than UON.

HINT: For universities the older it is, the more prestigious it should be to attend, but for your university it is moving backwards.
 
Hehehe mnavyotokwa udenda inadhihirisha kwanini hamsikiki kwenye chochote kinahusu elimu, tutaendelea kuwakalia sana tena kwa muda mrefu ujao.
So, you want to declair yourself as the colonialist of EA, right?!
 
Tunajua ki- english vizuri kuliko unavyodhani ila tu hatuna muda wa kutype kukufurahisha.
We are busy working.

Weka ki english chako kibovu hapa ili tukinyumbulishe waswahili sasa.

¡Eres idiota!
Solo eres buena para los ruidos.
 
Mimi Mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
Kwa ulevi tumewapita maana ushaidi upo Kwa viongozi wetu wanakunywa mpaka wanadondoka kwenye ngazi Kenya ishawahi tokea mpaka useme kila kitu wametuzidi?
 
Mimi Mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
[emoji3] kama tumeficha umejuaje tumewazidi, sema tu wametuzidi usijichanganye.
 
Wewe kiswahili unakijua?
May your championship be directed to your own behind, not in our paradise, you idiot!

Unapaswa utumie lugha unayoifahamu vizuri humu, maana kusudi lako ni tukuelewe, sasa uking'ang'ania kingereza (ilhali kinawapiga chenga) na kuandika pumba, unaishia kutuchanganya.
 
Unapaswa utumie lugha unayoifahamu vizuri humu, maana kusudi lako ni tukuelewe, sasa uking'ang'ania kingereza (ilhali kinawapiga chenga) na kuandika pumba, unaishia kutuchanganya.
kiswahili chenyewe hutaelewa, useme kikuyu.
 
kiswahili chenyewe hutaelewa, useme kikuyu.

Hata Kikikuyu poa tu, kimsingi uandike vizuri ukiwa na nia ya kufahamisha, sio unaandika uharo halafu hautaki kurekebishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…