Akili ya BMW kwenye Magari

Kote huko unatafuta nn?
 
BMW X3 za kuanzia 2012 zote ni xdrive ambayo maana yake ni AWD.
 

Kwa utaalamu wako ipi ambayo utashauri mtu amiliki hapa tanzania,ambayo ni reliable kwa mazingira yetu

Maana inaweza kuwa engine nzuri ina performance lakini ina pons an cons zake piaa reliability kwa mazingira yetu unafahamu vizuri.

Kwa performance yes mmeshasema ni F30

Je in terms of reliability na maintenance kwa Tz utamshauri mtu achukue ipi mkuu? Asante
 
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 
Gari za Volvo zina hizi sifa pia: battery nyuma na inline engine configurations
 
Pana mdau anaziponda hizi mashine akidai zinakwama kwenye tope Wabongo bhana...
 

Attachments

  • IMG-20221102-WA0097.jpg
    121.8 KB · Views: 36
  • IMG-20221102-WA0103.jpg
    122.8 KB · Views: 33
Nikipata pesa lazima nitamiliki BMW au Mercedes ya bei ya kawaida.
Ufundi nitajifunza mwenyewe maana youtube ipo
Ukiwa na muda.. Vifaa.. Hizi gari unazirekebisha mwenyewe..!
 
Ukiwa na muda.. Vifaa.. Hizi gari unazirekebisha mwenyewe..!
Mi mwenye ndo lengo langu kubwa

Huwa najifunza mambo mengi youtube kwa Chris fix

Hapo unakuwa na vifaa tu, unakuwa na sensor zinazokufa sana.

Unakuwa na jack kubwa, etc
 
Sure.. Kutegemea mafundi sana nayo ni changamoto.. Unatakiwa kujua basics za gari lako..
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…