Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Halafu sijui kama huyu@,Phobia yuko serious au ni attention seeker. Jana nilimfuata PM nikampa maelekezo mazuri tu na mengine nikamwambia nitampatia namba za washauri wanaojulilkana na Mimi pia kwa utaalam wangu nitasaidia Bure kabisa sihitaji hata kumi. Jana na Leo nikaamkia kukusanya material za kumsaidia. Nafungua JF nakuta hata PM haja acknowledge. Kuna member alisema hapa kuwa thread zake ni za attention seeking naanza kukubaliana naye. Yaani Mt mzima kama Mimi Zogwale ninahangaika kukimbilia PM kusaidia at zero cost halafu mhitaji hana time. Hovyo kabisa.
 
Tatizo lako pia liko kwenye jina, inaonekana ni mtu mwenye hofu hofu hii inakutesa mkuu , badilisha kwanza hilo jina lako.

PHOBIA
"A type of anxiety disorder ( a mental illness that makes someone very worried and affects their life) that involves an extreme fear of something "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phobia

Please talk to me..I will offer you my support😔Tecnically..Your suffering from SEVERE DEPRESSION🤦 (DEPRESSION IS REAL)

The only two paths for those who have severe depression are madness or suicide..😢

I think that way because once you get into this dark hole that is depression😞 when you get to the very bottom..there is no way to go back..at this moment you will see only two paths..madness or suicide

Either you're brave enough to take out your own life..or what you'll have left is madness and sociopathy..😞

And start to think like..My time is running out..every day my feelings and empathy go away if I don't kill now..it will be the others I will kill😔

My PM is Open for you..I will utilize my skills for you..You wont die We still need you🤗🤗🤗
 
Mungu Akubariki sana mpendwa. Tunahitaji watu wenye moyo kama wako wengi hasa katika nyakati hizi tulizonazo. Ubinadamu! ❤️❤️🙏🏿🙏🏿
 
Kashajimaliza nini maana toka Jana hajibu. Ila kujiua siyo suluhusho. Maisha ni matamu mno. Kutafuta pesa na kuila kwa Raha Tu. Yaani account inasoma billions wewe umekaa zako na glass ya maji au mvinyo umekunja nne. Phobia kama unataka kuhama ulimwengu huu usiache kuachia JF urithi maana umetumia muda wetu bure kukushauri na wala huna Busara ya kujibu. Rest in Hell.
 
......i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata....

......japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind....
Tuliosoma Cuba tumekuelewa.

Pole sana!
 

Read between the lines 👇👇👇 ...labda mnahangaika na mtu ambaye ana tatizo jingine kabisaaa -na hili ni tangazo 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️😁

......i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata....

......japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind....
 
Pole sana ndugu japo tulia kwanza suluhu ya matatizo zipo akuna mkate mgumu mbele ya chai shirikisha watu unaowahamini watakusaidia utakua poa tu
 
Time heals. Just give yourself time and remember everything is not permanent. Even the situation you are is not permanent.
 
Sasa kwa nini usinitafute tukachangamana
 
Unaonekana una upungufu sana wa marafiki, inaonyesga unaishi maisha ya upweke sana. Ushauri kwangu jaribu kujichanganya hasa mda baada ya kazi sijui unapendelea vitu gani jaribu kadri ya utakavo weza kuwa na marafiki wazuri na wakweli itakusaidia sana.
 
Kuna rafik yangu tulimzika last yr na alipitua situation kama Yako.....mi nafkir njia nzur ya kuepukana hayo ni kuwa muwaz na kueleza hyo situation kwa wataalm.....jamaa yeye alikaza hadi kifo ila kilichookua kinamsibu kilijajulikna later on due aliacha kimemo
 
Mjitahidi tu kujichanganya na watu akili inachangamka pole sana dear
Hawa wana matatizo zaidi ya kukaa peke yao, watu tusiopenda kujichanganya tupo wengi lakini kama mimi sijawahi kufikiria hilo suala, leo sijaenda job tangu asubuhi nipo ndani sijatoka nipo mwenyewe tu, kuna kitu cha zaidi wanapitiia kiroho outcomes zake zinaonrkana kimwili
 
Jamani usiwe ivyo,unakuwaje mpweke wakati watu wapo?,hebu jaribu kutumia mda wako kusali pia
 
Pole Sana..na Mimi Nina tatizo Kama lako.. nafikiri hii inatutokea sisi tusiopenda kujichanganya Kama pombe..n k
Tafuta kitu kinachokupa furaha kama kwenda kwenye movie au kwenye matembezi Kama national Park n.k
 
Reactions: Luv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…