Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Sijui shida huwa inakuwa ni nini?
Lakini tutakuwa tunawapa ushauri tu kwa sababu tumepitia huko tena kwenye magumu ya kutisha na bado tunapitia huko lakini tumeshakomaaa 😂😂😂
Yani nife Kwa mema gani nilofanya yatayifanya nikifa mapema nikapumzike kma sio nitakuwa mzimu tu nisumbue watu Allah anipe pumzi niishi mqisha marefu nilee wajukuu zangu
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Pole mkuu unapitia kipindi kigumu Mwenyezi Mungu akupe wepesi urudi katika hali yako ya kawaida
 
Mzee una stress sana polee au ndio sababu kuchapiwa mkeo na mzoa taka? Jokes

All in all , usifanye maamuzi yoyote mabaya mkuu tafuta doctor saikolojia upige naye story mkuu, kitu kidogo tu hicho na hauwezi amini ndani ya nusu saa tu atakufanyia cancel na utaanza kuyafurahia tena maisha mkuu
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Rip….
 
Kumbe unakumbukumbu nzuri 😂😂
 
sema ukwel tu kinacho kusumbua, mwanaume akiwa na pesa mara nyingi kitakacho msumbua ni mapenzi au umeachwa[emoji23][emoji23][emoji23] ukajua kumbe mapenzi sio pesa ndo ivo jamaa kaboba kakuibia jimbo na hana kiti[emoji23][emoji23]
Umewaza mbali[emoji23]kipo kisababishi
 
2017 ulikua kijana mdogo sana!

Hivi vitoto naona vimekimbilia JF siku hizi,halafu hoja zao ni zile zile tu za kutaka kufa kufa!

Wewe kufa tu,hautokua mtu wa kwanza kufa,R.I.P in advance,

Msiba utakua wapi?
Eti 2017 alikua kijana mdogo sana, sasa hela kapata wapi
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Hii thread imekaa kimitego sana. Watakuja wadada wengi kukufariji. Si umesema una pesa ya kupata chochote unachohitaji. Hii mbinu nlitumia mwaka 2009.niliwagonga sana. Wengi walinifuata inbox kutaka kujua watanisaidiaje.... Nikaishia kuwala.
 
Get a Bible, read it,

Call on Jesus. Anakusikia.

Ukimruhusu Yesu aingie moyoni mwako, Amani,Upendo, furaha vitaingia ndani,

HOFU, hasira, kukata tamaa, chuki, na Kila aina ya dhambi vitatokomea kusikojulikana.

Amen
Majitu ya dini bwana, una hakika ni mkristo?
 
Pole sana mkuu. Sijui ni kitu gani hasa unapitia, ila pole sana.

Make sure unapata mtu wa kuongea nae, akiwa wa jinsia tofauti na yako itapendeza zaidi.

All the best
Mimi mwenzake nimekuwa nikijikia hivi mwaka wa 30 sasa na hali hii kama yake. Na ninadunda tu yeye miaka 5 tu analia lia humu? Utoto wa mama tu huo. Mimi nimeanza jisikia kufa kufa miaka mingi sana na wala sijawahi waambia watu. Na pesa ninazo mpaka naumwa.....
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Mkuu

Kama wewe ni wa kiume JARIBU ku date na ma mama yaliyo kwenye 35 above!tata handle hisia zako!!

Kama ni ke date na mibaba au wazee ambao wata cover walau kidogo emotions zako!!
 
Pole mkuu I have been there but the only way out Is in.
Jaribu kabla ya kulala fanya meditation lala au kaa mgongo uwe umenyooka naturally, vuta pumzi ndefu then toa taratiibu rudia hivyo walau kwa dakika tano au kumi (unaweza tega alarm au countdown timer) akili yako yote ifocus kwenye pumzi unavyovuta na kutoa yaruhusu mawazo yapite assume wazo linalokuja ni kama wingu then liruhusu lipeperushwe na upepo jinsi unavyotoa pumzi.
Baada ya hapo sali kwa imani yako halafu lala, ukiweza kurudia asubuhi au muda wowote unapopata hayo mawazo mabaya, make it your daily routine utashangazwa na matokeo yake.
Give it a try, we don't wanna lose you, remember you are loved and you are not alone.
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Rest in advance peace,

Wasalimie ahera
 
Back
Top Bottom