Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Yani nife Kwa mema gani nilofanya yatayifanya nikifa mapema nikapumzike kma sio nitakuwa mzimu tu nisumbue watu Allah anipe pumzi niishi mqisha marefu nilee wajukuu zanguSijui shida huwa inakuwa ni nini?
Lakini tutakuwa tunawapa ushauri tu kwa sababu tumepitia huko tena kwenye magumu ya kutisha na bado tunapitia huko lakini tumeshakomaaa 😂😂😂