Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Nina enda sana church
Okay,ila isiwe kanisani tu ambako hakuna maombi .
Inatakiwa uende ukaonane na mchungaji/mtumishi umweleze unachopitia Ili akusaidie, msicheze na roho za mauti, yaani Huwa inatafuta mlango wa kuhakikisha inatimiza ilichoamriwa!
Kwa kuanza,omba Toba...zaburi 51 yote, Tubu dhambi zako ,halafu kataa na kemea roho ya mauti....isaya 7:7,zab 33:10...malizia na zaburi 35 yote.
Do it kabla hujalala
Kesho njoo na mrejesho hapa
 
Mwambie Hudson na Elizabeth wa Uingereza ulikokwenda mapumziko wakufariji lakini pia si ulioa demu wa Kisukuma Mnyamtuzu? Vipi yule demu wako ulimkuta home anamegwa na Mbena taka? Vipi kuhusu maisha ya ughaibuni?

Wewe jamaa ni muongo na unatatizo la kisaikolojia muone Dr wa Saikolojia, mathead yako ni ya uongo uwongo tu.
Basi atakua kaachwa huyu ☺️
 
Okay,ila isiwe kanisani tu ambako hakuna maombi .
Inatakiwa uende ukaonane na mchungaji/mtumishi umweleze unachopitia Ili akusaidie, msicheze na roho za mauti, yaani Huwa inatafuta mlango wa kuhakikisha inatimiza ilichoamriwa!
Kwa kuanza,omba Toba...zaburi 51 yote, Tubu dhambi zako ,halafu kataa na kemea roho ya mauti....isaya 7:7,zab 33:10...malizia na zaburi 35 yote.
Do it kabla hujalala
Kesho njoo na mrejesho hapa
Hayo yote Pasipo Imani ni bure kabisa
 
Get a Bible, read it,

Call on Jesus. Anakusikia.

Ukimruhusu Yesu aingie moyoni mwako, Amani,Upendo, furaha vitaingia ndani,

HOFU, hasira, kukata tamaa, chuki, na Kila aina ya dhambi vitatokomea kusikojulikana.

Amen
Nakazia
 
Huyu Mwamba kaishi maisha ya kudekezwa sana na inaelekea alikuwa ni mtu wa kujitenga na watu na aliyekuwa anampa hicho kiburi hayupo tena. Akubali kujishusha na aanze kushirikiana na watu wanaomzunguka. The beauty of life grows through our personalities na sio kwenye materials stuffs. Nakuona sana kwenye threads za kuwapa watu faraja 😂😂😂😂
Huwa nawaoneaga huruma sana 😂
 
Huwa nawaoneaga huruma sana 😂
Sijui shida huwa inakuwa ni nini?
Lakini tutakuwa tunawapa ushauri tu kwa sababu tumepitia huko tena kwenye magumu ya kutisha na bado tunapitia huko lakini tumeshakomaaa 😂😂😂
 
Mbona mimi nimekisoma...lakini bado nataka kufa tu
Uhai ni zawadi na kama unajua kuna Mungu muumba wa vitu vyote ukiwemo wewe. Utaacha kuwaza huu ujinga. Sasa unataka kufa unapajua unakoenda ? Acha ujinga yawezekana unakoenda kuna shida kuliko hapa duniani
 
🤣🤣 nacheka japo si pa kucheka..
 
Pole yake anayewaza kujiua huyo kuna watu tumepitia magumu na tukatengwa na watu wote mpaka Wazazi wetu lakini tuliamua kuwa na imani na kusimama na Mungu. Mpaka sasa nimekuwa imara na simuogopi wala kumnyenyekea mtu yeyote na heshima ipo. Maumivu yapo kwa ajili ya kutujenga na kutufanya kuwa imara.

mwamba anazingua sana
 
Back
Top Bottom