Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Dear yani acha tuu...juzi kuna mtu ananidai anapiga simu balaaa nikamwambia nipo msibani nitakutumia nikitoka hapa ila hasikii alipigaaa mpk nikazima simu nikasema sasa unanikera na hela ninayo mimi sikutumii leo...
Ndo hivyo raha za huu ulimwengu shuruba shuruba za hapa na pale siku zingine raha mpk utosini..siku nyingine stress wiki nzima still u move on hakuna kukata tamaa..
[emoji1787] haya ndio maisha yetu
 
Mi binafsi hali kama iyo umekua ikinisumbua sana j4 nikifikia mungu mkubwa
Daah mkuu kemea hili pepo jamani ebu mjitahidi kuwashirikisha watu wenu wa karibu mnayoyapitia

Mungu awafanyie wepesi muondokane na pepo la mauti
 
2017 ulikua kijana mdogo sana!

Hivi vitoto naona vimekimbilia JF siku hizi,halafu hoja zao ni zile zile tu za kutaka kufa kufa!

Wewe kufa tu,hautokua mtu wa kwanza kufa,R.I.P in advance,

Msiba utakua wapi?
 
Kumbe hii hali Huwa tunapitia wengi.

Nahisi na wewe unatabia ya kukaa peke Yako peke Yako ukiwa huna shughuli ya kufanya.

Mimi nadhani Kwa kuwa tuna muda mwingi wa Kuwa peke yetu ndio tunapata muda wa kuwaza mambo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.

Kuna muda natamani ningeweza kuchangamana na watu ila nilishashindwa

Pole mkuu
Mjitahidi tu kujichanganya na watu akili inachangamka pole sana dear
 
Pole boss naijua hiyo hali jana tu nimepitia mpaka nikahisi ndo basi nikasali mpaka sala ya kuungama zambi ila nimeamka asubui nashanga bado mzima nikashukuru
Nikavuta k vant kubwa na energy ya azam nikapoza moyooo..........
Aiseee Mungu akufanyie wepesi mkuu uondokane na hilo wazo la kujiua
 
Pole sana jmn ni vyema kuanza kumuamini Mungu katika maisha yako na ikiwa ni mkristo simama na Yesu upweke utapungua na itabaki kumbukumbu nzuri ya maisha ya mama duniani.Kwenye dunia unaweza kusema una mitihani mikubwa ila ulishawahi kutembelea vituo vya watoto yatima ukakutana na watoto ambao wamekosa wazazi katika umri mdogo.Simama na Mungu kila kitu kitakaa sawa
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"



Pole sana mkuu kufiwa na mama, sisi Waisilamu tunapopatwa na msiba tumeambiwa na Mungu tusema; Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.

Nasaha yangu kwako ni hii; Hakuna kiumbe chochote kitakachobaki duniani, mimi na wewe na mwingine yeyote zipo siku zetu za kuondoka hapa duniani, nafsi ambayo haitaondoka/haitakufa ni Mungu pekee, naye ndiye wa kumtegemea katika kila shida, basi ninakukumbusha tu katika hali unayopitia jaribu kumuomba Mungu kwa dhati ili akupe faraja kwani inaonekana umemsahau Mungu na badala yake umwemweka mtu, mtu ambaye kishafariki na hiyo ni aina moja ya ushirikina, ushirikina ni dhambi kubwa kuliko dhambi zote (absolute sin) mbele ya Mungu.

Jaribu kumtanguliza Mungu na kumwomba na kumuabudu kupitia dini yako kwa dhati ili akupe faraja kwani ni yeye ndiye atoaye fsraja ya kweli, then you will come here with another story of joy to tell us for it is, as I can see, an absence of God in yourself which is the causative of your fate.
 
Kijana tafuta mwanamke akutoe stress pata na watoto. Wewe ushakua mama ashaenda jenga familia yako na wao waje wakulilie siku moja.

Hapo unamlilia mke wa baba ako. Tafuta na wewe mke wako watoto wako waje wamlilie.
Nadhani jamaa hata demu hana huyu itakuwa ni domo zegr aseeee hata mimi nimemshauri hivyo apate mke au hata changudoa mmoja amtoe stress hizo 😁
 
Mimi...pia namwazo kama hayo..nahisi mwendo nishaumaliza...all I want is to die
Jamani kwa nini msifikie uko hiyo roho ikikumata kama mkristo sali sanaa kama muislamu omba sana dua pole sana kipenzi
 
Dear yani acha tuu...juzi kuna mtu ananidai anapiga simu balaaa nikamwambia nipo msibani nitakutumia nikitoka hapa ila hasikii alipigaaa mpk nikazima simu nikasema sasa unanikera na hela ninayo mimi sikutumii leo...
Ndo hivyo raha za huu ulimwengu shuruba shuruba za hapa na pale siku zingine raha mpk utosini..siku nyingine stress wiki nzima still u move on hakuna kukata tamaa..
Napenda wanawake ma fighter aseee 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Msichokijua jamaa ana mikataba na kuzimu so hana cha kupoteza na hawez mwambia mtu ili muamin somen kwa utulivu huo uzi kwa mwelevu ataelewa
 
Back
Top Bottom