Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

We jinsia gani?
Yule jamaa mwingine "Macron" alisema anataka kujiua, what happened to 'im?
Well, tukueleze what will happen. Ukijiua, you will get out of your body, and go to the Spirit World. Kule utakutana na very bad-tempered people ambao watakuuliza kwa nini umejiua? Halafu watakwambia, pumzika hapa. Halafu baada ya muda mfupi, watafanya mpango, uzaliwe tena duniani, umalizie span of life uliyoikimbia.
 
Pole sana kwa changamoto zote unazopitia lakini naomba uchukue muda na utafakari jinsi uhai ulivyokua ni zawadi kutoka kwa Mungu na pia jiulize je mama yako atafurahi huko akiona unawaza mambo ya kufa, jitahidi kujichanganya na watu avoid kutumia muda mwingi peke ako na jaribu kujiweka busy na kazi au kitu chochote usiwe idle

Binadamu yeyote yule lazima uelewe kifo kipo na kufa kupo.

Whether you like it or not. Death is a Must for everyone and you can't control nature, Thats the way it is.

Forget the past.Wewe sio wa kwanza kufiwa na mama.

Kuna watu wana shida zaidi yako na wanakaza.
Nakazia
 
Nenda kaonane na mtumishi mkuuuu

Ila kama ww ni mhuni:
nunua changudoa wa laki 2 mwambie akubembelezee usimtafune kwanza maana inaonekana your single kwaiyo hata mwanamke wa kukutuliza huna

Ila kwa vile una hela una weza ku buy ni ww tu na mshiko wako mkuuuuu hutojutia tumepitia sana hiyo stage 🎤🎤🎤😁😁😁😁😁
 
Mi binafsi hali kama iyo umekua ikinisumbua sana j4 nikifikia mungu mkubwa
.
20230411_234817.jpg
 
Pole sana mwamba, jichangenye na watu sema na watu acha kukaa kimya, Maisha ni matamu sana
 
Stress ni nyingi K....aache mawazo aje achati na sisi watoto wazuri wa jf😁
Stress ni nyingi K....aache mawazo aje achati na sisi watoto wazuri wa jf😁
Umeona eee tupo busy JF tuna relaaaaax..tuna ups and downs kibaoo..yeye anasema ana hela ila sisi wengine tuna daiwa vikoba.. tunadaiwa bank... saccos..etc ila wala hatuwazi kufa... 😆 😆 😆
 
Yaani unawaza kufa kufa hujui utamu wa K (utelezi) mama yako alishafariki wewe bado u mzima una afya na pesa unazo kwanini usimshukuru Mungu? Kuna watoto wachanga wanaozaliwa na mama zao kufa muda mfupi baada ya kujifungua na bado wana furaha na matumaini ya maisha ya duniani.
Nahisi wewe ni last born ulidekezwa sana.
Kemea pepo la mauti.
 
Back
Top Bottom