Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Aisee
Spirit of death inatafuta mlango wa kutimiza jambo
 
Umeona eee tupo busy JF tuna relaaaaax..tuna ups and downs kibaoo..yeye anasema ana hela ila sisi wengine tuna daiwa vikoba.. tunadaiwa bank... saccos..etc ila wala hatuwazi kufa... [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kipenzi tararibu basi ukiongea mambo ya kudaiwa vikoba na bank unanikumbusha kwamba nina madeni nikiingia jf nasahau kabisa kama nina madeni nikitoka hapa yanaanza upya [emoji1787]
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Pole sana kwa changamoto, uhai ni zawadi na si zawadi yako tu ni kwaajili ya wengine pia. Kuwa na matumaini zaidi kuliko kukata tamaa. Mwaka juzi nimepoteza Mama na Baba ndani ya wiki mbili, nashukuru MUNGU ametushika mimi na ndugu zangu na maisha yanaendelea.
 
Kama kuna sehemu nzuri tulivu nenda ukalie tena lia kweli kweli.

Tafuta mtu mshirikishe matatizo yako usiogope ww sio wa kwanza na hutakiwa wa mwisho.
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Pole sana, wewe ni Ke/Me? Baba yako yupo Hai? Kama yupo hai je mna mahusiano mazuri? Samahani kwa kukuuliza yote hayo sababu kama Baba yako yupo hai basi hutakiwi kuwa na hali hiyo labda tu kama mahusiano yenu si mazuri, na kama si mazuri hakikisha unayaweka sawa. Asante.
 
Kipenzi tararibu basi ukiongea mambo ya kudaiwa vikoba na bank unanikumbusha kwamba nina madeni nikiingia jf nasahau kabisa kama nina madeni nikitoka hapa yanaanza upya [emoji1787]
Dear yani acha tuu...juzi kuna mtu ananidai anapiga simu balaaa nikamwambia nipo msibani nitakutumia nikitoka hapa ila hasikii alipigaaa mpk nikazima simu nikasema sasa unanikera na hela ninayo mimi sikutumii leo...
Ndo hivyo raha za huu ulimwengu shuruba shuruba za hapa na pale siku zingine raha mpk utosini..siku nyingine stress wiki nzima still u move on hakuna kukata tamaa..
 
Nikupatie namba ya mtaalamu wa therapy umuelezee akusaiidie?
Drama Hakuna mtu anaeweza kukusaidia unapokuwa kwenye hiyo hali; you need to change the way you think;and everything will change
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Hiyo post traumatic disorder/stress inatibika,ni kumpata sycologist,ikiwezekana tafuta hata hospitali zinazo wahuduma wanajeshi wale wanaoenda zile mission kama za darfur,wapo kwani wanayokutana nayo ni mara 100,000 pengine ya iliyokutana nayo wewe😂
 
Kumbe hii hali Huwa tunapitia wengi.

Nahisi na wewe unatabia ya kukaa peke Yako peke Yako ukiwa huna shughuli ya kufanya.

Mimi nadhani Kwa kuwa tuna muda mwingi wa Kuwa peke yetu ndio tunapata muda wa kuwaza mambo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.

Kuna muda natamani ningeweza kuchangamana na watu ila nilishashindwa

Pole mkuu
 
Back
Top Bottom